Uchaguzi 2020 Sijafurahishwa na idadi ya watu waliojitokeza kwa Tundu Lissu kwa mikoa ya Shinyanga, Tabora na Dodoma

Uchaguzi 2020 Sijafurahishwa na idadi ya watu waliojitokeza kwa Tundu Lissu kwa mikoa ya Shinyanga, Tabora na Dodoma

Siku ya kwanza pale mbagala aliambiwa kwa kunong'onezwa kuwa muda umekwisha, akaropoka kwa nguvu muda unakwishaje nipo jukwaani. Sisi sijui nani alimwambia achelewe kupanda jukwaani
Tatizo lipo kwa Mgombea mwenyewe. Matusi, Uropokaji na Kejeli vinamfanya asiaminike mbele ya Wananchi.
Hayo Matusi, Uropokaji na Kejeli ilifaa awaachie Wagombea Ubunge na Madiwani, siyo yeye. Inaonekana ndani ya Chama chake anawamudu wote kuanzia Mwenyekiti na Katibu wake, ndiyo maana wanashindwa kumshauri.
 
Inafikirisha [emoji848]
IMG-20200904-WA0013.jpg
IMG-20200904-WA0014.jpg
 
Dodoma ambako ndiyo makao makuu ya CCM na Serikali wananchi wake ni mazezeta. Dodoma ndiyo wanakotoka omba omba wote nchini, wanaishi nyumba za mgongo wa tembo (yaani sakafu udongo na paa udono) lakini bado wanachagua CCM.

WAGOGO HAWAJITAMBUI
Then unataka hao hao Wagogo wawachague? Unapotafuta kura huwezi kufanya ubaguzi, sasa hata wale ambao wapo Dodoma ambao walitegemea kujiunga na chama chako au wapo kwenye kampeni ili washinde unafikiri wanakufikiriaje? Huu ubaguzi wa chama chenu ndio umewafikisha hapo, mnapoambiwa Chadema ni chama cha ukoo wa kina Mtei mnabwata, mnapoambiwa mlevi wa Konyagi anauwa chama mnabwatuka.

Tanzania ni nchi ambayo haina ubaguzi wa aina yoyote ile, nashangaa tupo karne ya 20 bado kuna jamii ambayo inausongo na baadhi ya makabila. Ni aibu!
 
Niwe muwazi mimi binafsi nina amini katika mabadiliko, mabadiliko ndiyo chachu ya maendeleo sehemu yoyote ile.

Nimeona na nimekuwa nikifatilia mikutano yote ya mgombea wetu hapa Dar na kuna afadhali kidogo japo mkutano wa segerea na kawe ulikuwa hauna watu sana, atleast kule Mbagala.

Naanza kupata picha, pengine kuna kitu hakipo sawa CHADEMA.

Tusi-conclude kuwa wanaoenda kwenye kampeni za CCM wanafata wasanii tu, hapana.

Ila kama wanafata wanancho wengi wanafata wasanii huko CCM basi sawa, ila pia basi kwa uwingi huohuo na kwa aina ya kukubalika kwa chama chetu basi walitakiwa pia wafate/waje kwa wingi kwenye kampeni zetu.

Kuna mikoa hadi sasa sinaelewa nini hasa kimetokea kutokana na uchache wa watu waliohudhuria tena kwenye viwanja vidogo sana ambavyo tumwchagua kufanyia kampeni.

Tuliona watu kule mwanza na tulifarijika sana na hilo na hadi tukatumia ndege nyuki (drones) kupiga picha za kampeni zetu. Ila baada ya hapo sikuona tena picha za juu (za drone) kwenye kampeni zetu.

Kilichotokea shinyanga, tabora na sasa dodoma ni aibu. Chama kitafute namna au kubadili mbinu ya kampeni ili tuweze kuvuta watu wengi waje kusikiliza sera.

Chini ni picha ya watu waliohudhuria kampeni hii leo huko Dodoma.

picha za asubuhi hizo.
 
Chadema wanahangaika bure tu,lissu hawezi kuwa Rais,anachangamsha uchaguzi tu
 
Naanza kupata mashaka huenda mgombea wetu anahujumiwa sehemu.
Sikutegema sehemu kama dodoma watu wakawa wachache hivi
Duhh, hii ni noma. Tena alipopigiwa risasi af raia hawajali? Kwa kweli Kuna tatizo
 
Mnaotaka kupima umati wa lisu angalieni mkutano wa mwanza ulivyojaza ndio utakupa majibu yote
 
Lissu ni binadamu wa aina yake jamani. Kile kichwa si mchezo eti.. akiongea unabaki kuwa amazed tu.. mimi natamani ningepata hata nusu ya akili zake, ningekuwa nimeula sana. Nampenda sana Tundu Lissu jimama mimi..

Tundu Lissu for presidency.. #NiYeye #NiRaisWetu2020
 
Kule dodoma wafanyakazi walipigwa marufuku kwenda kwenye mikutano ya wapinzani...
 
Lissu kawafokea sana watu wa shinyanga jana badala ya kuomba kule.Duuuuu chadema mmechanganyikiwa

Ndiyo maana wakampa na uchifu?

Kamshauri jiwe basi aachie ngoma ichezwe kwa uhuru na uwazi sasa. Si Chadema wameshachanganyikiwa?

Hofu ya nini basi? Au anamhofia Spunda?
 
Haaaahaaaa CCM ni janga
CCM wananichekeshaga sometimes, utadhani ni Mwanamke kisirani, ukiwaletea picha za watu wamejaa kwenye mkutano wanakwambia hao sio wapiga kura, ukileta picha za kubumba zinazoonyesha hakuna watu wanakwambia kuna tatizo, Chadema haikubaliki...... "Enyi Wagalatia msio na akili, nani kawaroga??"
 
Niwe muwazi mimi binafsi nina amini katika mabadiliko, mabadiliko ndiyo chachu ya maendeleo sehemu yoyote ile.

Nimeona na nimekuwa nikifatilia mikutano yote ya mgombea wetu hapa Dar na kuna afadhali kidogo japo mkutano wa segerea na kawe ulikuwa hauna watu sana, atleast kule Mbagala.

Naanza kupata picha, pengine kuna kitu hakipo sawa CHADEMA.

Tusi-conclude kuwa wanaoenda kwenye kampeni za CCM wanafata wasanii tu, hapana.

Ila kama wanafata wanancho wengi wanafata wasanii huko CCM basi sawa, ila pia basi kwa uwingi huohuo na kwa aina ya kukubalika kwa chama chetu basi walitakiwa pia wafate/waje kwa wingi kwenye kampeni zetu.

Kuna mikoa hadi sasa sinaelewa nini hasa kimetokea kutokana na uchache wa watu waliohudhuria tena kwenye viwanja vidogo sana ambavyo tumwchagua kufanyia kampeni.

Tuliona watu kule mwanza na tulifarijika sana na hilo na hadi tukatumia ndege nyuki (drones) kupiga picha za kampeni zetu. Ila baada ya hapo sikuona tena picha za juu (za drone) kwenye kampeni zetu.

Kilichotokea shinyanga, tabora na sasa dodoma ni aibu. Chama kitafute namna au kubadili mbinu ya kampeni ili tuweze kuvuta watu wengi waje kusikiliza sera.

Chini ni picha ya watu waliohudhuria kampeni hii leo huko Dodoma.

Watu wapo isipokuwa CCM na UVCCM ndiyo wametengeneza propaganda kuonyesha kuwa Chadema hawana watu kwenye mikutano yao
 
Back
Top Bottom