Uchaguzi 2020 Sijafurahishwa na idadi ya watu waliojitokeza kwa Tundu Lissu kwa mikoa ya Shinyanga, Tabora na Dodoma

Na huo ufuatiliaji wako hujajiuliza wakati Magu anahutubia huo umati unaouita mafuriko je, ushaona attitude yao. Jaribu kutazama vizuri wanaomfuatilia kwa umakini kama watazidi 3000 njoo uchukue mbwa wangu
 
hapo lisu akiingia
Your browser is not able to display this video.
 

Mataga hao njaa inawasumbua achana nao!! Nyomi zote hizo wanaziona lakini wanajitia upofu!!!
 
Mkuu mleta mada pengine hujajua, ufunguzi wa kampeni za ccm watu walienda kutazama wale wasanii wa mitama, baada ya diamond kutumbuiza watu walianza kutoka magetini waondoke, polifisiem na usalamasisiem wakawazuia wakafunga mageti eti mpaka jiwe amalize
 
Ulilalamika kuwa Kuna michango kwenye mikutano iweje ulalamikie na idadi ya waliojitokeza?
 
Kwanini wao chadema wasilete picha ili kuwakata ngebe hao wanaeleta licha za mbali?
 
MATAGA mmepoteana vibaya mno [emoji23] [emoji23]... Mimi nipo Dom... Hii picha umepiga mchana Tena Barabarani kama unatokea Jamhuri.... Acha utopolo
View attachment 1558529View attachment 1558530View attachment 1558531
 
Swala la kufuraishwa na CHADEMA, halitakuwepo kwako wala mwana-kijani yeyote! Cha msingi tumia dawa zako kama ulivyo elekezwa, kunywa maji kwa wingi, ukisikia ‘CHADEMA’ ziba masikio, jikumbushe sherehe, kama unaweza, ongeza sala!
 
Mimi ni Chadema lakini kwa hali hii hapana wakuu
mkuu mungu atakutoa utumwani , na taratibu naona unaanza kujitafakari vizuri kwamba huko ulipo sio sahii , na kwa hili mkuu nakuongezea baraka usipakumbuke tena na imekua, nchi yakuitaji sana katika kupigania haki, uhuru na maendeleo ya watu
 
Unajihangaisha bure tu Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…