Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Hiyo hapohapo lisu akiingiaView attachment 1558502
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo hapohapo lisu akiingiaView attachment 1558502
Ccm wananichekeshaga sometimes, utadhani ni Mwanamke kisirani, ukiwaletea picha za watu wamejaa kwenye mkutano wanakwambia hao sio wapiga kura, ukileta picha za kubumba zinazoonyesha hakuna watu wanakwambia kuna tatizo, Chadema haikubaliki...... "Enyi Wagalatia msio na akili, nani kawaroga??"
Chadema mnasumbuliwa na uzwazwa mwingi kama leo pale bunda na lamadi nyomi hile watu unawaleta na malori saa ngapi usiishi kw mazoea .Hao wameenda kwa usafiri wao, hawajepelekwa na malori
Kwanini wao chadema wasilete picha ili kuwakata ngebe hao wanaeleta licha za mbali?Kuna tabia ya kijinga sana ya kuchukua picha kwenye angle ya mbali isiyoonyesha uhalisia wa ukubwa wa idadi ya watu na kusema mkutano hauna watu. Kuna mwingine amefanya kama wewe kwenye mkutano wa ccm. Haina maana. Kama watu walijaa ni walijaa and vise versa.
Watageuka vipofu kweli kwa sababu wanautamani.Mataga hao njaa inawasumbua achana nao!! Nyomi zote hizo wanaziona lakini wanajitia upofu!!!
Hahaha hawajui hata wanachokitaka ni kipindi kimojawapoUlilalamika kuwa Kuna michango kwenye mikutano iweje ulalamikie na idadi ya waliojitokeza?
Watage
Watageuka vipofu kweli kwa sababu wanautamani.
MATAGA mmepoteana vibaya mno [emoji23] [emoji23]... Mimi nipo Dom... Hii picha umepiga mchana Tena Barabarani kama unatokea Jamhuri.... Acha utopoloNiwe muwazi mimi binafsi nina amini katika mabadiliko, mabadiliko ndiyo chachu ya maendeleo sehemu yoyote ile.
Nimeona na nimekuwa nikifatilia mikutano yote ya mgombea wetu hapa Dar na kuna afadhali kidogo japo mkutano wa segerea na kawe ulikuwa hauna watu sana, atleast kule Mbagala.
Naanza kupata picha, pengine kuna kitu hakipo sawa Chadema.
Tusi-conclude kuwa wanaoenda kwenye kampeni za CCM wanafata wasanii tu, hapana.
Ila kama wanafata wanancho wengi wanafata wasanii huko ccm basi sawa, ila pia basi kwa uwingi huohuo na kwa aina ya kukubalika kwa chama chetu basi walitakiwa pia wafate/waje kwa wingi kwenye kampeni zetu.
Kuna mikoa hadi sasa sinaelewa nini hasa kimetokea kutokana na uchache wa watu waliohudhuria tena kwenye viwanja vidogo sana ambavyo tumwchagua kufanyia kampeni.
Tuliona watu kule mwanza na tulifarijika sana na hilo na hadi tukatumia ndege nyuki (drones) kupiga picha za kampeni zetu. Ila baada ya hapo sikuona tena picha za juu (za drone) kwenye kampeni zetu.
Kilichotokea shinyanga, tabora na sasa dodoma ni aibu. Chama kitafute namna au kubadili mbinu ya kampeni ili tuweze kuvuta watu wengi waje kusikiliza sera.
Chini ni picha ya watu waliohudhuria kampeni hii leo huko Dodoma.
mkuu mungu atakutoa utumwani , na taratibu naona unaanza kujitafakari vizuri kwamba huko ulipo sio sahii , na kwa hili mkuu nakuongezea baraka usipakumbuke tena na imekua, nchi yakuitaji sana katika kupigania haki, uhuru na maendeleo ya watuMimi ni Chadema lakini kwa hali hii hapana wakuu
Unajihangaisha bure tu Mkuu.Niwe muwazi mimi binafsi nina amini katika mabadiliko, mabadiliko ndiyo chachu ya maendeleo sehemu yoyote ile.
Nimeona na nimekuwa nikifatilia mikutano yote ya mgombea wetu hapa Dar na kuna afadhali kidogo japo mkutano wa segerea na kawe ulikuwa hauna watu sana, atleast kule Mbagala.
Naanza kupata picha, pengine kuna kitu hakipo sawa Chadema.
Tusi-conclude kuwa wanaoenda kwenye kampeni za CCM wanafata wasanii tu, hapana.
Ila kama wanafata wanancho wengi wanafata wasanii huko ccm basi sawa, ila pia basi kwa uwingi huohuo na kwa aina ya kukubalika kwa chama chetu basi walitakiwa pia wafate/waje kwa wingi kwenye kampeni zetu.
Kuna mikoa hadi sasa sinaelewa nini hasa kimetokea kutokana na uchache wa watu waliohudhuria tena kwenye viwanja vidogo sana ambavyo tumwchagua kufanyia kampeni.
Tuliona watu kule mwanza na tulifarijika sana na hilo na hadi tukatumia ndege nyuki (drones) kupiga picha za kampeni zetu. Ila baada ya hapo sikuona tena picha za juu (za drone) kwenye kampeni zetu.
Kilichotokea shinyanga, tabora na sasa dodoma ni aibu. Chama kitafute namna au kubadili mbinu ya kampeni ili tuweze kuvuta watu wengi waje kusikiliza sera.
Chini ni picha ya watu waliohudhuria kampeni hii leo huko Dodoma.
Msema kweli ni mpenzi wa MUNGUKwanini wao chadema wasilete picha ili kuwakata ngebe hao wanaeleta licha za mbali?