Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Naona umemgundua huyu mfitini . Akumbuke Cdm na vyama vingine vya upinzani havitumii rasilimali za serikali kuwezesha na hata kufanyia propaganda. Hivyo mahudhurio wanayopata ni hakiWewe ni mnafiki upo kutafta negativity tu za chadema. Wewe post zako zinaongeleaga tu chadema negatively.View attachment 1558341
Threads zako zote ni kujadili matatizo ya chadema,umetumwa wewe ,ushauri wako hatuutaki ni wa hovyo na unamfaa mkeo usilete public, nonsense
QUOTE]unapoandika ushauri wako kampelekee mkeo ,siyo unakuja kuandika pumba humu ,kilaza wa mwisho JFSasa kama kila siku tunalalamika raisi hapendi kukosolewa iweje na kwetu pia iwe hivyo?
Kamanda ina maana viongozi wote walifika mchana?MATAGA mmepoteana vibaya mno [emoji23] [emoji23]... Mimi nipo Dom... Hii picha umepiga mchana Tena Barabarani kama unatokea Jamhuri.... Acha utopolo
View attachment 1558529View attachment 1558530View attachment 1558531
Dodoma 4/9/2020
View attachment 1558521
Wewe ni mshamba mmoja wa Lumumba mwenye akili za TBCCM
eti unajifanya wewe ni.kamanda kumbe ni hewa usiyejitambua
Naweka picha za Dodoma leo
Nyie si mlisema Cdm imekufa ?!. Mbona Leo mnahangaika kutoa posts nyingi nyingi kuhusu Cdm ?Wanatudanganyia mikutano ya Lowasa ya 2015
Sasa kama Wenye drones zao hawajachukua picha za juu hii haimaanishi kuwa hakukuwa na watu wengi Tabora, nenda Youtube kuna video lukuki za Shinyanga na Tabora
Tabora kulikuwa na Nyomi tazama hizi hapa: huhitaji picha ya juu ili kuprove nyomi
View attachment 1558466
Dodoma Picha hizi:
View attachment 1558500
View attachment 1558487
Kamanda kweli hao ni wa kusema nyomi? Hakuna tunayemuongopea, bali tunajiongopea wenyewe
Usijitoe ufahamu, hebu angalia watu wa mwanza hao , alafu angalia na watu wa domnyomi linaanzia watu wangapi?
Mnahangaika sana na mwenzako, Lissu anachanja mbuga.Mimi ni Chadema lakini kwa hali hii hapana wakuu
Usijitoe ufahamu, hebu angalia watu wa mwanza hao , alafu angalia na watu wa domView attachment 1558571
Hizo picha ni wakati wananchi bado hawajafika wote mkutanoni.Ccm wananichekeshaga sometimes, utadhani ni Mwanamke kisirani, ukiwaletea picha za watu wamejaa kwenye mkutano wanakwambia hao sio wapiga kura, ukileta picha za kubumba zinazoonyesha hakuna watu wanakwambia kuna tatizo, Chadema haikubaliki...... "Enyi Wagalatia msio na akili, nani kawaroga??"
Inaongeza credit? Au kura? Maana kila saa mnasema Chadema ina wafuasi wa twitter, sasa huyu yuko verified kabisa, vipi anaongeza kura??
Dunia nzima kila mgombea ana sehemu yake ya kujidai...kama USA kila mgombea anakuwa na state anayokubalika zaidiSi unaona hapo hapo, hakuna waru kabisa! Kuna tatizo kubwa ndani ya chama