Uchaguzi 2020 Sijafurahishwa na idadi ya watu waliojitokeza kwa Tundu Lissu kwa mikoa ya Shinyanga, Tabora na Dodoma

Uchaguzi 2020 Sijafurahishwa na idadi ya watu waliojitokeza kwa Tundu Lissu kwa mikoa ya Shinyanga, Tabora na Dodoma

Tukijiandaa kwenda kuleta nyomi kwny mkutano wa mtetezi wa wanyonge.
JamiiForums-879927817_641x534.jpg
 
Sasa kama kila siku tunalalamika raisi hapendi kukosolewa iweje na kwetu pia iwe hivyo?
Threads zako zote ni kujadili matatizo ya chadema,umetumwa wewe ,ushauri wako hatuutaki ni wa hovyo na unamfaa mkeo usilete public, nonsense
 
Sasa kama kila siku tunalalamika raisi hapendi kukosolewa iweje na kwetu pia iwe hivyo?
QUOTE]unapoandika ushauri wako kampelekee mkeo ,siyo unakuja kuandika pumba humu ,kilaza wa mwisho JF
 
Sasa hapo kuna watu wengi? Mafuriko? Na ile drone imeacha kufanya kazi? Picha za juu zipo wapi?
Nakuhakikishia mm ni chadema kwelikweli kuliko wewe
Wewe ni mshamba mmoja wa Lumumba mwenye akili za TBCCM
eti unajifanya wewe ni.kamanda kumbe ni hewa usiyejitambua
Naweka picha za Dodoma leo
 
Wanatudanganyia mikutano ya Lowasa ya 2015
Nyie si mlisema Cdm imekufa ?!. Mbona Leo mnahangaika kutoa posts nyingi nyingi kuhusu Cdm ?

Kumbuka Cdm na vyama vingine vya upinzani hawatumii rasilimali za umma kufanyia propaganda. Tofauti na hao Ccm wanatumia media zote . Hawa wanajialika wenyewe
 
Hahahaha Bawacha bhana lazima walie
 
Wewe mtoa mada unaota mchana mchana. Lissu anawatoa kamasi.. hamkuamini kama angepokelewa kiasi hiki.
 
Ccm wananichekeshaga sometimes, utadhani ni Mwanamke kisirani, ukiwaletea picha za watu wamejaa kwenye mkutano wanakwambia hao sio wapiga kura, ukileta picha za kubumba zinazoonyesha hakuna watu wanakwambia kuna tatizo, Chadema haikubaliki...... "Enyi Wagalatia msio na akili, nani kawaroga??"
Hizo picha ni wakati wananchi bado hawajafika wote mkutanoni.
 
Back
Top Bottom