Uchaguzi 2020 Sijafurahishwa na idadi ya watu waliojitokeza kwa Tundu Lissu kwa mikoa ya Shinyanga, Tabora na Dodoma

Zombie la lumumba linatapatapa tu kama nyati jike aliyejotoni.....leo hujachangishwa wew kibwengu wa mr slowly
 
Jitahidi ila haitokusaidia
 
Kiukweli tunapenda mabadiliko ila TL kuwa rais wa nchi??[emoji848][emoji848][emoji848] that's a joke men.
 
Hapo hakuna wasanii,ukitaka kuhakikisha ondoa wasanii uone aibu itakayowapata migombani street
 
Picha zinazoonekana zimechukuliwa mapema kabla ya mgombea wetu hajawasili maeneo hayo, inaleta maana kama ungetuletea picha zilizochukuliwa kuanzia kumi na kuendelea.
 
Ilani ya matusi na dhihaka na hadithi ya risasi raia wanaanza kuichukulia poa
 
Hizo picha za ki propaganda mkutano wa Lissu Dodoma huu hapa, na hii Ni Ngome Kuu ya CCM


Huu Ni mkutano wa Lissu Tabora, kumbuka Tabora pia Ni strong hold ya CCM

 
Nonsense. Huyu mleta mada atakuwa mnafiki sana ni ccm lkn anajifanya Chadema. Sasa ccm wanaosomba watu kwa malori mbona huwasemi.
 


Maccm kilichobaki ni kuanza kunywa pilipili na mtawashwa sana!
 
Umeona jinsi Lissu anavyopwaya ukilinganisha na Lowassa 2015? Yaani hana mvuto kabisa. Mikutano yake inapitwa hata na mikutano ya kampeni za wabunge.

Ona leo mgombea ubunge wa Kinondoni mahudhurio yake yalivyopita ile ya uzinduzi huko Mbagala, Kawe na Segerea.
 
Kwani Chadema wamezuiliwa kutumia malori kusafirisha watu.
Hakuna sababu.
Kwa maendeleo waliyofanya kwa miaka mitano hakukuwa na sababu ya kusafirisha watu kwa malori hata kufanya kampeni hakukuwa na haja wangelala tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ