Sijafurahishwa na usomaji magazeti wa Maulid Kitenge kuhusu Mo Dewji

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Maulidi Kitenge ambaye ni mtangazaji nguli, aache utani kupitiliza.

Eti watekaji walimvisha Dewji khanga, anauliza kwanini khanga? Ya wapi? Maneno kwenye kanga yaliandikwaje? Maulidi wewe kuna leo na kesho na ukitekwa wewe huenda hata wasikuvishe chochote.
 
mtekwaaji sikasema mwenyewe alivalishwa kanga sasa hapo kitenge anakosa gani angeongezea kwamba alivalisha na kitu kingine labda ingekuwa kasema uongo lakini kitenge kanuku maneno ya mtekwaji kama gazeti lilivyo nukuu
 
unataka wanaume wazima tujadiri khanga hapa ??? Shwain
 
Lakini pia msomaji anasema Mo aliomba wamuue, swali limebaki utata nn alifanyiwa mpaka aombe kifo ?
Ukitafakari khanga na kifo unapata ukakasi sana wa yote yaliyotendeka.
Na tena walimuachia bila pesa yoyote. MMMHHHH ina maana boss..........................................?
 
Kitenge ni Yanga damu na Mo ni Simba. Watani wa jadi hao. Mtani kuvalishwa kanga lazima ataniwe.
 
Mbwe mbwe ndo mlo wake.
 
Huyo maulidi ni hovyo tu. Hajawai hata ck moja kuwa smart, au mbunifu...kananichefuaga mm
 
Dah nilijua ni mimi peke yangu kiukweli kile kipindi cha magazeti hakieleweki kabisa si yeye si zembwela

Sports arena iko vizuri
 
ULISIKIA YA STEVE NYERERE huko efm
 
Mo Dewji kadanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…