Sijafurahishwa na usomaji magazeti wa Maulid Kitenge kuhusu Mo Dewji

Sijafurahishwa na usomaji magazeti wa Maulid Kitenge kuhusu Mo Dewji

Hahahahhaahhaha unajua BOSS kaushangaza sana UMMA baada ya kuutangazia kuwa walimvua nguo, wakamvisha khanga.....hivi ndio vitu kina mkatoliki huwa hawasemi
Hahaha kina Roma wanaogopa wakisema njemba zitapanga foleni.

Huyo yeye kasahau kusema tu kwamba walipokuwa wakimvua nguo zote walikuwa wakimpaka mafuta...

Wahindi huko kwao ndio michezo yao hiyo, hapa wanashindwa kwasababu maisha yao ya kujitenga, lakini upanga na kisutu humo wengi sana.

Huyu kajilipua ki aina.
 
haaaaaah mkuu unajiuliza maswali magumu kichwa kinaweza pasuka ebu agiza chochote tutalipa waungwana wenzio.
Duh! Alivuliwa boksa, akavalishwa kanga tu... akaomba wamuue, wakamwambia nyamaza.... akarudishwa bila ya kuambiwa kwanini walimteka, tena bila kumuomba hata senti... watekaji hadi wakafanya hayo yote walikuwa na lengo gan? Napata ukakasi na hizi taarifa, ni ngumu kumeza kama kipolo cha Gongo.!
Mmh naungana na ma-great thinkers wenzangu kuwa huenda kilainishi kilifanya kazi yake ipasavyo...
 
Back
Top Bottom