Sijafurahishwa na usomaji magazeti wa Maulid Kitenge kuhusu Mo Dewji

Sijafurahishwa na usomaji magazeti wa Maulid Kitenge kuhusu Mo Dewji

Maulid analazimisha ucheshi wa kina Masoud Kipanya japo kwa haiba yake hawezi
 
Maulidi Kitenge ambaye ni mtangazaji nguli, aache utani kupitiliza.

Eti watekaji walimvisha Dewji khanga, anauliza kwanini khanga? Ya wapi? Maneno kwenye kanga yaliandikwaje? Maulidi wewe kuna leo na kesho na ukitekwa wewe huenda hata wasikuvishe chochote.
Aliekuambia manyigu yanaumana ni nani
 
Maulidi Kitenge ambaye ni mtangazaji nguli, aache utani kupitiliza.

Eti watekaji walimvisha Dewji khanga, anauliza kwanini khanga? Ya wapi? Maneno kwenye kanga yaliandikwaje? Maulidi wewe kuna leo na kesho na ukitekwa wewe huenda hata wasikuvishe chochote.
Point! Ila sometimes hawa vichwa vya Samaki kama maulid kitenge ( jina lake halistahili kuandikwa kwa kuanza na herufi kubwa), busara ni kuwasikiliza na kuachana nao, au kutokuwasikiliza kabisa. Ana umri mkubwa lkn tabia na behavior zake ni kama za mtoto wa miaka mitatu.
 
Lakini pia msomaji anasema Mo aliomba wamuue, swali limebaki utata nn alifanyiwa mpaka aombe kifo ?
Ukitafakari khanga na kifo unapata ukakasi sana wa yote yaliyotendeka.
Ooohooooo!!!kwahiyo unahisi alivalishwa na chachandu za kiunoni?Kazi kwelikweli
 
Ninyi wanaume wa dar hivi hayo mambo manafanyiwa sana?Mbona kitu kidogo tu akili inawapeleka huko?Inawezekana hili tatiizo kumbe ni kubwa sana.
Mimi nina wasi wasi kama marinda ya salama
 
Alivuka mipaka sana pale aisee, yaan unaona kabisa kuna kitu anataka kumaanisha, ni mzuri kwenye habari za michezo ila kuhusu kuperuzi na kudadisi magazeti hajui
 
Ni kwa nini walimvua boxer na kumvisha khanga???????????

Tuanzie hapo
 
Ukweli ni upi?
Ukweli upo upande wa pili wa ile script aliyokuwa anaigiza pale.
Huwezi kutuambia haujui watekaji wanaongea lugha gani at the same time wakakwambia 'nyamaza'.
Bora angekaa kimya tuu!!
 
Back
Top Bottom