Sijaitizama Friday Night live muda mrefu kidogo leo nimepata bahati

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
13,696
Reaction score
17,306
Hakika nimejikuta nimezeeka.

Aisee kumbe unaweza ukafikiri bado wewe ni kijana. Kumbe vipindi kama hivi ndo vinakushtua.. USHAZEEKAA....

OYA.. kuna videmu hapa viko na Madera...

Lakini kuna goma jipya hapa la bonge la dada...

Aisee... Lakini huyu presenter mwenye PURPLE ! NAONA KAMA ANAJUA
 
Zamani walikua VIZURI kutokemea watekaji nikaacha kuangalia na mavipindi yao
 
Mara ya mwisho kuangalia FNL, presenter alikua SSEBO ambae sasa naona ni Boss wa EFM,..jamaa umri umesogea na mvi juu Mimi mwenyewe si haba naona zangu zinaanzia kidevuni. Maisha yako kasi sana aiseeh 🤔
 
Mara ya mwisho kuangalia FNL, presenter alikua SSEBO ambae sasa naona ni Boss wa EFM,..jamaa umri umesogea na mvi juu Mimi mwenyewe si hapa naona zangu zinaanzia kidevuni. Maisha yako kasi sana aiseeh 🤔
I don know but I remember that boy Sam!
 
Kitambo sana Mzee nadhani ilikua kipindi kile bado inaitwa Chanel 5, miaka 2003-2008 hivi!!
Aisee..
Ok..
But after you was

FB_IMG_1752868711738.jpg

No one could dare miss his presentation.
 
Hakika nimejikuta nimezeeka.

Aisee kumbe unaweza ukafikiri bado wewe ni kijana. Kumbe vipindi kama hivi ndo vinakushtua.. USHAZEEKAA....

OYA.. kuna videmu hapa viko na Madera...

Lakini kuna goma jipya hapa la bonge la dada...

Aisee... Lakini huyu presenter mwenye PURPLE ! NAONA KAMA ANAJUA
Oya nyie mkabidhini Maisha yenu kipenzi chetu cha dhati mwamba Imam Hussain aliuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma, ukandamizaji, unyanyasaji na uonevu. Achaneni kabisa na HAYO mavitu Saturday night live.

Mwamba hapo akielekea Karbala kuupigania uislamu kwenye battle of Ashura.

Screenshot_2025-07-18-16-30-28-06_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg

Screenshot_2025-07-09-18-01-08-90_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Hakika nimejikuta nimezeeka.

Aisee kumbe unaweza ukafikiri bado wewe ni kijana. Kumbe vipindi kama hivi ndo vinakushtua.. USHAZEEKAA....

OYA.. kuna videmu hapa viko na Madera...

Lakini kuna goma jipya hapa la bonge la dada...

Aisee... Lakini huyu presenter mwenye PURPLE ! NAONA KAMA ANAJUA
Sijawaona au nimechelewa kipindi
 
Mara ya mwisho kuangalia FNL, presenter alikua SSEBO ambae sasa naona ni Boss wa EFM,..jamaa umri umesogea na mvi juu Mimi mwenyewe si haba naona zangu zinaanzia kidevuni. Maisha yako kasi sana aiseeh 🤔
Kwahiyo Umvi ndo ukubwa... 😅😅🪡🪡
 
Back
Top Bottom