Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
NI kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn aliuwawa kikatili kuutetea, kuupigania na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.What is this?!?
NI kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn aliuwawa kikatili kuutetea, kuupigania na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.What is this?!?
Kaka unazan vyombo VYA HABARI vingekua vnakemea mambo hayo tungefika HUKU. Angalia JANA inasemekana Kuna MTU kapigwa shaba WATU wameanza kua na hofu. Kauli ya KIFO ni KIFO.WatekJi!?
NI kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn aliuwawa kikatili kuutetea, kuupigania na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
Kaka hua unamanisha au kejeli mkuu