Shujaa Nduna
JF-Expert Member
- Sep 8, 2022
- 599
- 487
Kwanza niseme wazi kwa mtazamo wangu wanamuziki wa bongo flaver, hiphop, dance nk ktk miziki ya ulimwengu ni wabunifu sana ingawa wengine mizigo.
Pili nawapongeza wanamuziki wa dini wachache wana ubunifu wengine craming capacity inawasaidia hawabuni kitu ambacho kitaelimisha na kumleta mtu ktk imani wanasoma mistari ktk biblia wanaimwaga ktk wimbo hapa nawashangaa hamuwezi kubuni kitu ambacho hakitatoka nje na misingi ya imani?
Pamoja na hilo pokeeni pongezi kwakuwa mnatumia majina halisi mf Martha Mwaipaja, Paul Cassian nk.