Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Miaka yote sijawahi kujua maana ya amri ya SITA wengi watashangaa sana ila ndio ukweli , .
Lala na mume wako tu tofauti na hapo utapata shida ambazo ndio tunaenda Kwa waganga kutolewa nuksi ,vifungo , na nyota unakuta unatumiwa , kitendo Cha kulala na mwanaume ambaye umekutananaye tu Kwa sababu , umempenda, au kakuvutia ndio matatizo huanzia hapo.
Mambo Yako yanaanza kuwa mabaya , unaishia kuachishwa kazi, au unakuwa na misuko suko mingi kazini , kumbe ulipo lala naye mumekuwa mwili mmoja, so kama ananuksi , unapata nuksi nawewe , na kama anabaya lolote nawewe unapata so kulala na watu tofauti sio sifa nikujitoa ufahamu , ndio maana asilimia ya wanawake wengi wanakuwa kama wamechizika , Kisa Hilo, jingine mtu hata kupata wakukuoa kazi na ulipokuwa kigori ulikuwa busy kugawa bahati zako Kwa wanaume,so kwangu never too late sintoshiriki Tena na mwanaume tendo la ndoa ili hali SI mume wangu wa ndoa .