Sijajua maana ya amri 6 usizini

Sijajua maana ya amri 6 usizini

Miaka yote sijawahi kujua maana ya amri ya SITA wengi watashangaa sana ila ndio ukweli , .

Lala na mume wako tu tofauti na hapo utapata shida ambazo ndio tunaenda Kwa waganga kutolewa nuksi ,vifungo , na nyota unakuta unatumiwa , kitendo Cha kulala na mwanaume ambaye umekutananaye tu Kwa sababu , umempenda, au kakuvutia ndio matatizo huanzia hapo.

Mambo Yako yanaanza kuwa mabaya , unaishia kuachishwa kazi, au unakuwa na misuko suko mingi kazini , kumbe ulipo lala naye mumekuwa mwili mmoja, so kama ananuksi , unapata nuksi nawewe , na kama anabaya lolote nawewe unapata so kulala na watu tofauti sio sifa nikujitoa ufahamu , ndio maana asilimia ya wanawake wengi wanakuwa kama wamechizika , Kisa Hilo, jingine mtu hata kupata wakukuoa kazi na ulipokuwa kigori ulikuwa busy kugawa bahati zako Kwa wanaume,so kwangu never too late sintoshiriki Tena na mwanaume tendo la ndoa ili hali SI mume wangu wa ndoa .
umeshachelewa....na hautoolewa
 
Hap
Hapo kuchanganya na story za kiganga umepindisha mada,hapa tunaongelea mke Kama mke sio mchawi
Kujipima Kabla ya kuoa na baada ya kuoa nako sioni Kama ni jambo Sana,huoni Kama ukishaoa MAJUKUMU yanaongezeka?
Jamani mbona ni calculation simple sana
Huanzi kuoa halafu ndio uone majukumu. Unaanza kujipima kama unaweza majukumu ya kulea familia ndipo unaoa.

Ukiona majukumu yamekushida ndoani sio kuwa yameibuka hapo tu kama uyoga, ulishayapigia hesabu kabla hujaoa. Maana yake hesabu zako hazijaenda kama ulivyopima.

Hilo sio suala la miscalculation bali ni hicho ulichokileta hapo kwako ndio kimakutafuna, ama kwa kujua ama kwa kutojua. Kimsingi, ukioa unatakiwa utoboe maana tayari umejiongezea kibali toka kwa Mungu.
 
Najua hunniambaya, ila kusema una mashaka na uwepo wa Mungu, utapigwa madongo mpaka!.... mtu anashinda njaa mwezi mzim halafu useme una mashaka na ueppo wa Mungu...... 😀 😀 😀 😀 😀
kama yupo ana matatizo ya akili ya kupoteza kumbukumbu
 
Ha
Huanzi kuoa halafu ndio uone majukumu. Unaanza kujipima kama unaweza majukumu ya kulea familia ndipo unaoa.

Ukiona majukumu yamekushida ndoani sio kuwa yameibuka hapo tu kama uyoga, ulishayapigia hesabu kabla hujaoa. Maana yake hesabu zako hazijaenda kama ulivyopima.

Hilo sio suala la miscalculation bali ni hicho ulichokileta hapo kwako ndio kimakutafuna, ama kwa kujua ama kwa kutojua. Kimsingi, ukioa unatakiwa utoboe maana tayari umejiongezea kibali toka kwa Mungu.
Kwa mantiki hii walokole wote wenye kujua kuomba wangekuwa matajiri Sana
 
Umenena vyema sana. Shetani anawachapa wengi sana kupitia ngono, maana ndipo nafsi zinapoungana kirahisi.

Lakini hata kama ni mume wako au mke wako na ana nuksi, bado utakuwa umejiungamanisha nae. Unapooa au kuolewa (ila hasahasa kuoa) omba sana Mungu akupe mke mwema ama sivyo kama sio kifo cha mapema basi utaona rangi zote duniani, utachapika mpaka ushangae.

Biblia katika Mithali 18:22 inasema kuwa; Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa BWANA. Ukiona umeoa halafu unakuwa maskini hautoboi, jua imeoa mke asiye sahihi kwako, anza kumuangalia mkeo kwa makini.
Sio kweli,kumbuka ukioa umeshaongeza majukumu,lazima uchakarike ili uweze kumudu familia,Sasa wewe unalala ndani hauhangaiki then unasema mke ana mikosi? Au kweli unawajibika na kipato unacho lkn jinsi ya kupangilia hicho kipato ukashindwa,mfano unaanzisha biashara kubwa pasipo kufanya research na biashara inakufa,utasema mke ana mikosi? Tusiwasingizie wanawake.
 
Miaka yote sijawahi kujua maana ya amri ya SITA wengi watashangaa sana ila ndio ukweli , .

Lala na mume wako tu tofauti na hapo utapata shida ambazo ndio tunaenda Kwa waganga kutolewa nuksi ,vifungo , na nyota unakuta unatumiwa , kitendo Cha kulala na mwanaume ambaye umekutananaye tu Kwa sababu , umempenda, au kakuvutia ndio matatizo huanzia hapo.

Mambo Yako yanaanza kuwa mabaya , unaishia kuachishwa kazi, au unakuwa na misuko suko mingi kazini , kumbe ulipo lala naye mumekuwa mwili mmoja, so kama ananuksi , unapata nuksi nawewe , na kama anabaya lolote nawewe unapata so kulala na watu tofauti sio sifa nikujitoa ufahamu , ndio maana asilimia ya wanawake wengi wanakuwa kama wamechizika , Kisa Hilo, jingine mtu hata kupata wakukuoa kazi na ulipokuwa kigori ulikuwa busy kugawa bahati zako Kwa wanaume,so kwangu never too late sintoshiriki Tena na mwanaume tendo la ndoa ili hali SI mume wangu wa ndoa .
😁😁😁😁😁😁😁
Screenshot_20230404-223611~2.png
 
Sio kweli,kumbuka ukioa umeshaongeza majukumu,lazima uchakarike ili uweze kumudu familia,Sasa wewe unalala ndani hauhangaiki then unasema mke ana mikosi? Au kweli unawajibika na kipato unacho lkn jinsi ya kupangilia hicho kipato ukashindwa,mfano unaanzisha biashara kubwa pasipo kufanya research na biashara inakufa,utasema mke ana mikosi? Tusiwasingizie wanawake.
Ukiona ukadanga au kulala na Malaya au michepuko basi kama mtu wangu Kila siku visa
 
Back
Top Bottom