Sijajua maana ya amri 6 usizini

Hivi kati ya sisi wanaume na wanawake wapi ni wanaongoza kwa kulala na watu mbalimbali?
 
Amri ya Sita ni Usiue
Amri ya Saba ni Usizini
Amri ya Nane ni Usiibe


Kwa Msaada zaidi soma

Kutoka 20:14
Wakawi 20:10
Mathayo 5:27 ; 19:18
Marko 10:19
Luka 18:20
Warumi 13:9
Yakobo 2:11
 
Yuniki leo umeongea Jambo la heri Sana, hiyo amri ya sita itatufanya wengi tuikose mbingu kbsa.

Kuzini na mume/ mke wa mtu Ni vibaya Sana afu msamaha wake hauji kirahisi rahisi.
Haswaaaa
 
Walokole mna visa nyie!yaani ushindwe kutoboa kwa matatizo yako binafsi halafu lawama umtupie mke uliyeoa,eti umuangalie kwa makini....you guys work up acheni kujilisha upepo
Haihitaji digrii, kipimo ni wewe (muoaji) vs wewe, Yaani unajiangalia mafanikio yako Wewe kabla ya kuoa vs wewe baada ya kuoa. Ukiona unarudi nyuma chanzo ni hapo kwa mkeo.

Hivi visa tunavyosoma vya kina UMUGHAKA na Analyse sio story za kupoteza muda, ni vya kweli. Kwa hiyo kujilisha upepo ni maamuzi tu ya mtazamaji
 
Sisi tukilala nanyie ni ndoa umefungwa so
Hivi kati ya sisi wanaume na wanawake wapi ni wanaongoza kwa kulala na watu mbalimbali?
Wote Kuna mwanaume nilikuwa naye haa yaani unasema ni malaika mtoa roho maana haridhiki hataki kuwa na mmoja utadhani basi la kwenda Tanga nakuridi Arusha hatulii hata umpe mapenzi yakiarabu hamnaga mpaka akaja kumpa mjeshi mimba ndio akasettle Sasa maana alifuatiliwa na wanajeshi ili alee hiyo mimba mpaka akaona Sasa maji yamemfika shingoni akatulia mpaka na Leo hajaoa yeye yupo bar anajita baba zuu
 
Hap Hapo kuchanganya na story za kiganga umepindisha mada,hapa tunaongelea mke Kama mke sio mchawi
Kujipima Kabla ya kuoa na baada ya kuoa nako sioni Kama ni jambo Sana,huoni Kama ukishaoa MAJUKUMU yanaongezeka?
Jamani mbona ni calculation simple sana
 
Nashangaa kaenda Kwa waganga simanishi waganga hapana nihivi ukishavua nguo Kwa mwanaume ujue tayari mumekuwa mwili mmoja so vyake vyako vyako vyake nakuapia
 
Walokole mna visa nyie!yaani ushindwe kutoboa kwa matatizo yako binafsi halafu lawama umtupie mke uliyeoa,eti umuangalie kwa makini....you guys work up acheni kujilisha upepo
Yes, sio uongo anasema true Kuna watu wanagiza hadi muachane ndio mambo yanajipa
 
Hiyo siyo tu nyie hata sisi
 
Samaleko
Hayo maneno tu unafikiri mtu kama mo hata ukilala nae utampa nuksi yule..

!
 
Amri ya Sita ni Usiue
Amri ya Saba ni Usizini
Amri ya Nane ni Usiibe


Kwa Msaada zaidi soma

Kutoka 20:14
Wakawi 20:10
Mathayo 5:27 ; 19:18
Marko 10:19
Luka 18:20
Warumi 13:9
Yakobo 2:11
Amri ya SITA usizini , Usiibe ndio amri ya Saba mie nimesoma mafundisho nanikabarikiwa Kwa hiari sio Kwa lazima
 
sina nia mbaya nimeuliza tu mkuu?
Najua hunniambaya, ila kusema una mashaka na uwepo wa Mungu, utapigwa madongo mpaka!.... mtu anashinda njaa mwezi mzim halafu useme una mashaka na ueppo wa Mungu...... πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…