Sijajua maana ya amri 6 usizini

umeshachelewa....na hautoolewa
 
Huanzi kuoa halafu ndio uone majukumu. Unaanza kujipima kama unaweza majukumu ya kulea familia ndipo unaoa.

Ukiona majukumu yamekushida ndoani sio kuwa yameibuka hapo tu kama uyoga, ulishayapigia hesabu kabla hujaoa. Maana yake hesabu zako hazijaenda kama ulivyopima.

Hilo sio suala la miscalculation bali ni hicho ulichokileta hapo kwako ndio kimakutafuna, ama kwa kujua ama kwa kutojua. Kimsingi, ukioa unatakiwa utoboe maana tayari umejiongezea kibali toka kwa Mungu.
 
Najua hunniambaya, ila kusema una mashaka na uwepo wa Mungu, utapigwa madongo mpaka!.... mtu anashinda njaa mwezi mzim halafu useme una mashaka na ueppo wa Mungu...... πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
kama yupo ana matatizo ya akili ya kupoteza kumbukumbu
 
Ha Kwa mantiki hii walokole wote wenye kujua kuomba wangekuwa matajiri Sana
 
Sio kweli,kumbuka ukioa umeshaongeza majukumu,lazima uchakarike ili uweze kumudu familia,Sasa wewe unalala ndani hauhangaiki then unasema mke ana mikosi? Au kweli unawajibika na kipato unacho lkn jinsi ya kupangilia hicho kipato ukashindwa,mfano unaanzisha biashara kubwa pasipo kufanya research na biashara inakufa,utasema mke ana mikosi? Tusiwasingizie wanawake.
 
😁😁😁😁😁😁😁
 
Ukikosa wa kukuoa itakuwaje sasa, hapatatumika kabisa?
 
Ukiona ukadanga au kulala na Malaya au michepuko basi kama mtu wangu Kila siku visa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…