Sijajua sababu inayofanya Vijana wengi hapa JF kunichukia ni ipi!

N
Nakazia.
 
Uandishi wako unafanana na WA Popoma ndio maana unachukiwa. Ukiandika kuhusu kitu chochote kile basi asilimia kubwa ya mada yako ni kujisifia uongo kuliko kile unachotaka tukijue.
 
Nonesense
Unaandika kwa kusikiliza sauti kutoka kichwani kwako au vp?


Kiufupi unajistukia
 
Humu kuna members wengi maarufu na kinara wao ni GENTAMYCINE. Huyu mwamba naye hudai kuna wanaomchukia mpaka huwashushia paragrafu baada ya uzi wake mahsusi. Sasa naona na wewe umekuja ukidai vijana wa humu wanakuchukia. Anyway, kama mmeamua ku make attention mfuatiliwe mnachoandika fresh tu. Tutajua tabia mbalimbali za members
 
Itakuwa ujuaji mwingi
 
Hata mie nimeshangaa hapo, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…