Sijajua sababu inayofanya Vijana wengi hapa JF kunichukia ni ipi!

UMUGHAKA mkuu ujumbe wng utaupata kwenye wimbo wa
Fid Q ft Saida karoli_ kiberiti. ๐Ÿ™๐Ÿฝ๐Ÿ™๐Ÿฝ
 
Mzee, binadamu bwana tuko tofauti sana na ni watu wa ajabu mi nafikiri wanaokuchukia ni wale wenye tabia hii, ni maskini, waliokosa wazo wafanye nini ili watusue, ukipitia simulizi zako hasa ile ya kumwamini shetani utaona hasira za watu wenye tabia hizo nilizotaja kupitia comments zao ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… yaan mtu anakutukana eti kwa sababu hukufuata masharti eti umekuwa maskini anahisi hiyo chansi ingekuwa yake leo angekuwa tajiri mkubwa
pia maadui wengine uliwapata baada ya kuelezea biashara zinazofanyika kwa nguvu za giza hasa hapo kariakoo na kama kuna watu bado wanafanya biashara kwa staili hizo unaamini anakupenda?
Mwisho wale wanachuki kwako ni wale ambao wanahisi kwa nini hawakuwa wao kwenye zile stori zako wanaamini wangetusua.
 
Ukiileta kwa wahuni
Tunaila na hatuitoi gundu
Kwa utamu gani kwani
Tukitaka kuila tunaila hata kwa Sabuni
Aeeshu ushu ushuu
Wezombi ee wezombi
Nasimba lamasimba dangote
Ushu zi
๐Ÿคช

Shamima mtoto wa Tanga akakuingiza Chaka la wahuni ๐Ÿคช
weeee zombii
haujui
 
Kuna masomo humo ni magumu, sasa kukuamini mbona inakua ngumu mzee baba, kama ulikua unapiga F funguka tu usione aibu
 
Don't worry about criticising no one had ever kick a dead dog.
 
2 ya kumi na nane ndo bandiko lote hili๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Jibu rahisi ni kwamba huyu ndiye Genta, wewe unganisha dots utajua
Amepoteza kumbu kumbu kuwa hii ni id yake nyingine tena verified na ile aliyoshinda sio verified hivyo kajivua nguoโ€ฆwaliosema kuwa ukiwa muongo uhakikishe upotezi kumbu kumbu hawakukoseaโ€ฆ.kalsmatic Fella kayatimba na Jf ndio penyewe hahahaha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Watu na chuki zao

Watu na vijiba vyao vyaroho

watu na wivu wao

Mxxxxxieeewwwww wakwendreeeeee๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ


๐Ÿ™‡๐Ÿ™‡
 
QUOTE "Kidato cha Pili kwenye mtihani wa Mock ulioshirikisha shule zote za Wilaya ya Tarime mjini na Vijijini nilikuwa mtu wa 2 kwa Wilaya nzima, nilizidiwa na mpuuuzi mmoja kutoka Rorya (Kabla Rorya haijawa wilaya ilikuwa sehemu ya wilaya ya Tarime Vijijini)" EOQ

Ulichoandika hapo juu kinaakisi wewe ni mtu wa aina gani. Unapenda wewe tu upewe sifa zote nzuri lakini hupendi kabisa kuwaona wale wanaokuzidi wakipata sifa hizo. Kwa mfano ulipokuwa mtu wa 2 katika Wilaya nzima unadiriki kumshambulia yule aliyekuwa wa 1 kwamba ni "mpuuzi". Si ajabu chuki zote unazozizungumzia zinaanzia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ