Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Hapo nimeelewaKwa sababu hapa EA, Tz ndio bora 😎
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu
Nimepata majibu wanajua Tanzania ni tishio kwao kuliko majirani zao wote
Hiki kiswahili sio cha TZHata wahuni na futungo wanasema kama wewe
Imekuwa too much kila project wakifanya wanataka comparison na ccKenya ndiye jirani pekee asiyetaka kukubali ukweli kuwa bila Tanzania hawezi ku survive.
Kiuhalisia inawauma kuwa Tanzania ndiye jirani pekee anayeweza kumkoromea kidiplomasia Kenya na akatulia. Sio tu kidiplomasia hata kiuchumi.Husika na kichwa cha habari hapo juu
Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu
Nimepata majibu wanajua Tanzania ni tishio kwao kuliko majirani zao wote
Ni vile tuna siasa teketeke kwa Afrika labda ni Egypt ni na SA tu ndo wangecheza league moja na sisi.Imekuwa too much kila project wakifanya wanataka comparison na cc
Miaka ya nyuma walikuwa wanatuchukulia poa walimezeshwa matangopori kuhusu TZ sasahivi kutokana na utandawazi wameijua TZ uhalisia wake . Uko sawaKiuhalisia inawauma kuwa Tanzania ndiye jirani pekee anayeweza kumkoromea kidiplomasia Kenya na akatulia. Sio tu kidiplomasia hata kiuchumi.
Kenya ina hali mbaya sana na wanaumizwa na kinachoendelea Tanzania kiuhalisia.
Na tangu utandawazi ushike Kasi ndio wanaona Tanzania waliyodanganywa kuwa ni masikini na wameizidi imewazidi wako kwa actual ground kwa Kila kitu.
Washamba sanaHao wana inferiority complex,hawajiamini
KbsaNi vile tuna siasa teketeke kwa Afrika labda ni Egypt ni na SA tu ndo wangecheza league moja na sisi.
Hao sio suala la maendeleo wana wivu na chuki na sisisBattle ya kimaendeleo ni nzuri