Hujawafuatilia vizuri hao wakenya wewe.Hawana chuki ni watani tuu km waha na wahaya,,,
Asa mkenya akuchukie kisa nn ?? Atafaidika na nn ??
Hao wana chuki kuanzia uongozi wao hadi raia.
Kipindi cha Uhuru Kenyatta walianzisha COW coalition of willing na kuwaita Uganda na Rwanda na Tanzania wakaitenga,hiyo COW ikafa.
Mpango wa kujenga SGR ulikua wa Afrika mashariki nzima,wao wakajitoa na wakatutenga wakaanzisha ujenzi wao wenyewe,Mungu sio Athumani wala Dula akaja Magufuli akakataa kujenga standards za Kenya akajenga better standard continuos welded rail electrified with electric trains. Likawashuka.
Sakata la Samia kuhamisha wamaasai walienda kutangaza vyombo vya kimataifa kuwa wamaasai wanapigwa risasi na walanalazimishwa kuhama.
Hadi wanaharakati wa kimataifa walikuja juu.
Wana chuki mbaya sana hao tena saanaa.