Sijajua wa Kenya wanawashwa nini na wa Tanzania

Sijajua wa Kenya wanawashwa nini na wa Tanzania

Attachments

  • Screenshot_2025-08-23_003037~2.jpg
    Screenshot_2025-08-23_003037~2.jpg
    48.6 KB · Views: 19
Hapana kaka we utakua MGENI nchini sisi na wao miaka nenda eudi tangu enzi na enzi ni utani wa jadi nakumbuka kipindi cha magufuli ilikua ukienda Kenya ukitaka kuondoka wanakwambia msalimue magufuli kawanyoosha hao sanaaa, so ni utani kwa mtu aliefika huko anajua ndo mana Kenya hakuna mtu wa taifa lolote ANAISHI vizuri Kenya kumzidi mbongo, nyimbo za wabongo zinapigwa sana kumzidi za wasanii wao


Fullstop, kwishaaa
 
If not for our delicate politics, in Africa only Egypt and SA would have been in our league. Hapo umeelewa nini maana labda Kiswahili ni kigumu.
Hizi unazoleta sasa ni ngonjera hicho kipimo kwann ujipimie ww tu? Nchi zote za ngozi nyeusi zina matatizo hayohayo kifupi tunafanana nawao wakisema kama ulisema itakuaje?
 
Kiuhalisia inawauma kuwa Tanzania ndiye jirani pekee anayeweza kumkoromea kidiplomasia Kenya na akatulia. Sio tu kidiplomasia hata kiuchumi.
Kenya ina hali mbaya sana na wanaumizwa na kinachoendelea Tanzania kiuhalisia.
Na tangu utandawazi ushike kasi ndio wanaona Tanzania waliyodanganywa kuwa ni masikini na wameizidi imewazidi wao kwa actual ground kwa Kila kitu.
Yaani waumizwe na Trillion 107?
 
Wana vituko wale, mara usikie christina shusho ni mkenya, mara diamond akaribishwe aombe uraia wa kenya, mara wamtamani mrisho mpoto awe raia wao, kwa kwa kweli wale ndugu wanaona watanzania ni washindani wao kwa kila nyaja
 
SIJAJUA WA KENYA WANAWASHWA NINI NA WATANZANIA

Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu

Nimepata majibu wanajua Tanzania ni tishio kwao kuliko majirani zao wote
Yanga vs Simba
CCM vs Chadomo
Tanzania vs Kenya.

Japo kitaalamu ni kwamba tunashindana Kwa Kila kitu Kwa sababu tunafanana Kwa Kila kitu kuanzia geopolitical Hadi kwenye utamaduni.
 
SIJAJUA WA KENYA WANAWASHWA NINI NA WATANZANIA

Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu

Nimepata majibu wanajua Tanzania ni tishio kwao kuliko majirani zao wote

SIJAJUA WA KENYA WANAWASHWA NINI NA WATANZANIA

Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu

Nimepata majibu wanajua Tanzania ni tishio kwao kuliko majirani zao wote
Sitaki kuamini kwamba kujilinganisha au kutaka kujilinganisha na watu au taifa lingine ni jambo baya, na ni sifa ya Wakenya tu. Sema wewe umechukulia kama ni jambo hasi. Hata Watanzania wanapenda kujilinganisha na mataifa mengine, na kauli kama "sisi tuna umoja, si kama Kenya yenye ukabila, au sisi ni nchi ya amani, si kama nchi zingine, n.k" tunazisikia mara kwa mara.
 
Wana akili kuwazidi, wa bongo Mara 100+,
Bunge la Kenya limejaa academicians, wwmasheria, wabobezi, njoo kwetu hapa, kuna kibajaji, Babu, tale, msambatavangu watu wapo bungeni kqmq wanacheza rede

we jamaa unasikitisha sana
 
Back
Top Bottom