Sijajua wa Kenya wanawashwa nini na wa Tanzania

Sijajua wa Kenya wanawashwa nini na wa Tanzania

Usichukulie mambo siriaz sana. Wakenya ni watani wetu hata makabila tumeshare, sisi wajaluo tuna ndugu upande wa Kenya. Ukiondoa zile drama za kuchomeana vifaranga vya kuku, mimi binafsi hii vita ya maneno ya tz vs ken huwa naiangalia katika mtazamo wa kiutani zaidi, especially vita ya maneno inayoendelea baina ya mashabiki wa taifa staz na kenya kuhusiana na michuano ya chan inayoendelea. Huwa nasoma comments naishia kucheka tu. Kuna jamaa mmoja wa kenya leo kanivunja mbavu anasema first lady wa tz ni mwanaume
Hao wana chuki na sisi umeshaona wanavyomtusi mama samia na watu wa TZ
 
Kiuhalisia inawauma kuwa Tanzania ndiye jirani pekee anayeweza kumkoromea kidiplomasia Kenya na akatulia. Sio tu kidiplomasia hata kiuchumi.
Kenya ina hali mbaya sana na wanaumizwa na kinachoendelea Tanzania kiuhalisia.
Na tangu utandawazi ushike kasi ndio wanaona Tanzania waliyodanganywa kuwa ni masikini na wameizidi imewazidi wao kwa actual ground kwa Kila kitu.
Utawasikia;
1. Mlima Kilimanjaro upo Kenya
2. Diamond ni mkenya
3. Zuchu ni mkenya etc
 
Utawasikia;
1. Mlima Kilimanjaro upo Kenya
2. Diamond ni mkenya
3. Zuchu ni mkenya etc
Wapuuzi sana hawa. Wamekaa hawajatosheka wanaanza kusambaza uvumi kuwa wamenunua tiketi za mechi ya TZ vs Morocco hivyo raia hatutaweza kuingia kwasababu Kenya wamenunua tiketi zote.
Ilhali HUWEZI kununua tiketi kiholela mfumo unadhibitiwa na NIDC.
Kila mara wao ni ***** ***** tu.
 
Wakenya hawajiamini hata kwenye vitu wanavyoona wametuzidi lakini bado wanatuonea wivu, wanatamani wangeishi maisha tunayoishi sisi, hawalali usingizi kutwa kuchungulia kwetu kuna nini. Kwa ujumla wana matatizo ya afya ya akili.
Na hiyo imetokana na uongo waliolishwa muda mrefu juu yetu. Sasa baada ya kutembea na Tanzania kujitangaza na wakaiona hata mitandaoni wanaona uhalisia kwa ground ni tofauti na walivyoaminishwa kuwa sisi ni masikini.
 
SIJAJUA WA KENYA WANAWASHWA NINI NA WATANZANIA

Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu

Nimepata majibu wanajua Tanzania ni tishio kwao kuliko majirani zao wote

Wakati wanavunja East African Cimmunity, kina Sir Njonjo walijua wametangulia mbele sana. Tanzania ikawa inaenda mdogo mdogo. Ila sasa, kwa jinsi mambo yalivyo, viwanda vingi Kenya vinategemea malighafi toka TZ.

Halafu mnawabania. Mpaka nsima mnawabania. Ndio maana wanawamind sana
 
Kiuhalisia inawauma kuwa Tanzania ndiye jirani pekee anayeweza kumkoromea kidiplomasia Kenya na akatulia. Sio tu kidiplomasia hata kiuchumi.
Kenya ina hali mbaya sana na wanaumizwa na kinachoendelea Tanzania kiuhalisia.
Na tangu utandawazi ushike kasi ndio wanaona Tanzania waliyodanganywa kuwa ni masikini na wameizidi imewazidi wao kwa actual ground kwa Kila kitu.
Sio kweli.
 
Miaka ya nyuma walitudharau na tulistahili kudharauliwa sababu tulikuwa nchi ya kijinga sana. Nakumbuka walikuwa hadi wanatangaza mt Kilimanjaro ipo kwao na sisi tupo tupo tu kama mazezeta. Kipindi hicho tulikuwa tunaongozwa na kiongozi mmoja dhaifu sana anayecheka cheka tu.Now we are like rising lion and they fear us.
Sio kweli
 
SIJAJUA WA KENYA WANAWASHWA NINI NA WATANZANIA

Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu

Nimepata majibu wanajua Tanzania ni tishio kwao kuliko majirani zao wote
Wana akili kuwazidi, wa bongo Mara 100+,
Bunge la Kenya limejaa academicians, wwmasheria, wabobezi, njoo kwetu hapa, kuna kibajaji, Babu, tale, msambatavangu watu wapo bungeni kqmq wanacheza rede
 
SIJAJUA WA KENYA WANAWASHWA NINI NA WATANZANIA

Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu

Nimepata majibu wanajua Tanzania ni tishio kwao kuliko majirani zao wote
Unajiuliza na kujijibu mwenyewe kwanini umeleta uzi humu kujaza seva.
 
Back
Top Bottom