Sijajua wa Kenya wanawashwa nini na wa Tanzania

Sijajua wa Kenya wanawashwa nini na wa Tanzania

Miaka ya nyuma walikuwa wanatuchukulia poa walimezeshwa matangopori kuhusu TZ sasahivi kutokana na utandawazi wameijua TZ uhalisia wake . Uko sawa
Miaka ya nyuma walitudharau na tulistahili kudharauliwa sababu tulikuwa nchi ya kijinga sana. Nakumbuka walikuwa hadi wanatangaza mt Kilimanjaro ipo kwao na sisi tupo tupo tu kama mazezeta. Kipindi hicho tulikuwa tunaongozwa na kiongozi mmoja dhaifu sana anayecheka cheka tu.Now we are like rising lion and they fear us.
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu

Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu

Nimepata majibu wanajua Tanzania ni tishio kwao kuliko majirani zao wote
Usichukulie mambo siriaz sana. Wakenya ni watani wetu hata makabila tumeshare, sisi wajaluo tuna ndugu upande wa Kenya. Ukiondoa zile drama za kuchomeana vifaranga vya kuku, mimi binafsi hii vita ya maneno ya tz vs ken huwa naiangalia katika mtazamo wa kiutani zaidi, especially vita ya maneno inayoendelea baina ya mashabiki wa taifa staz na kenya kuhusiana na michuano ya chan inayoendelea. Huwa nasoma comments naishia kucheka tu. Kuna jamaa mmoja wa kenya leo kanivunja mbavu anasema first lady wa tz ni mwanaume
 
Hata walipokuwa wanamtukana Rais wa Tanzania na serikali nao ule ni utani ?
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu

Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu

Nimepata majibu wanajua Tanzania ni tishio kwao kuliko majirani zao wote
Wivu na woga
 
Miaka ya nyuma walikuwa wanatuchukulia poa walimezeshwa matangopori kuhusu TZ sasahivi kutokana na utandawazi wameijua TZ uhalisia wake . Uko sawa
Na ndio maana kijiba cha roho kimewapata.
Kuna video jamaa ni Mkenya ila yeye ametembea sana,akaona anawachallenge wakenya wenzake kwa kuwaonesha picha ya Mkapa stadium,Kila anayeulizwa anadai ni kwa madiba walipoambiwa ni uwanja wa Mkapa wengi walikataa hawakuamini.
Tizama miradi yao yote ni ya kufakufa,walianza na sgr ya kubumba ambayo ni jointed rail mtindo wa zamani locomotive ni diesel. Tanzania tulipokuja na continuous welded rail na ambayo ni electrified walishangazwa.
Hawakutegemea tungejenga HEP dam kubwa ambayo ni ya pili kwa ukubwa Afrika Nyerere HEP.
Hawakutegemea tungeweka mfumo wa elimu bure ambao wao wameugeza wakaushindwa.
Kwa hatua hizi inawafanya kila wakifanya kitu watafute validation Tanzania. Inferiority complex.
 
Tz na kenya ni wapinzani kama ilivyo simba na yanga. ...na sio kitu kipya duniani kwa nchi mbili zilizojirani kuwa na ushindani wa hapa na pale. Hata Brazil na Argentina ni wapinzani.
Ni mambo ya kawaida tu.
Kenya sasa hawachukulii huu kama upinzani bali ni chuki wameingiza.
Lile sakata la Ngorongoro unajua kama kuna activist wa Kenya walienda kusambaza habari za uongo vyombo vya habari vya kimataifa na kudai kuwa Tanzania inawapiga risasi wale wamaasai wakiwalazimisha kuondoka!?
Yani ungetizama Aljazeera na BBC ungeona fitna waliyoipeleka kule.
Kenya ni wana chuki mbaya sana.
 
Hakuna kitu, wakenya wamesoma zaidi kuliko wabongo, kwa kenya sa100 asingekubaliwa kuwa rais wao!!!.
Kenya hawana usomi wowote ni ujinga tu wa kujidai wasomi.
Si bora hata Samia kuliko Ruto!?
Hivi umeona madudu anayofanya Ruto?
Ruto ni anafanya madudu aisee hata taahira hawezi yafanya.
Pia usisahau kuwa Kenya na Nigeria ndio wanaongoza kwa vyeti vya kubumba na hili hata kimataifa liliwahi kuzungumziwa.
 
Back
Top Bottom