Sijajutia kabisa safari yangu ya Morogoro kuangalia maeneo (ardhi) ya uwekezaji

Sijajutia kabisa safari yangu ya Morogoro kuangalia maeneo (ardhi) ya uwekezaji

Wewe mkuu umejiandaa safari ukiwa na kibunda chako. Lakini jmeleta dhsrau etu vijans ni wavivu.
Watu mkishapata kidogo tu maskini mnawaona hawana akili ni wavivu
Mkuu ukweli usemwe!! Nimezunguka sehemu nyingi sana lkn vijana Hawa ni wavivu Hilo halibafirishi kitu chochote. Pia Mimi ni mtafutaji kama wewe tu wakuunga unga Fursa yoyote nikiona Huwa nakuwa Tyr Kwa mapambano.
 
Umejuaje ardhi ina rutuba kama hujaa na kuishi ukalima ukaona kinachotoka.....mkuu unaangalia kwa macho?
Sisi wakulima ardhi Ina julikana Kwa macho tu. Hata ukiangalia mazao yaliyotoka mfano mabua na Hina la mmea utajua wazi hii ardhi Bado Inaita. Kuna maeneo Bado ni bikira kabisa.
 
Alafu mimi hapa natafuta eneo la kufugia karibia miaka miwili sasa bila mafanikio. Nitaenda huku.
Mkuu yanauzwa heka1 3000-500k haya ni masafi Tyr yaani hayana vichaka na ni kando kando mwa barabara. Bei ya 500k alisema kama Hana Nia anaweza kukuzia bei hiyo lkn mara zote Huwa 300k.Barabara kuu huko kwingine ni chini ya hapo.
 
Inavutia,kuna picha umesahau kuficha uso wako, watekaji wameshakujua,

pili huyu shemeji yetu anayekula embe ni mzuri sana,

Mwisho kabisa ukiona sehemu ina fursa na watu wamezubaa ujue kuna viashiria vya ushirikina hapo,ukienda oitisha chale za kisukuma
Mimi ni msukuma mkuu. Wakija kilokole nadiri nao kilokole wakija kichawi nitaenda nao kimlo ulalo😆

kuhusu picha ngoja nizipitie na kuondoa.

ahsantee sana
 
Back
Top Bottom