Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #41
Shule inahitaji Hela mkuu. Kilimo Cha umwagiliaji mkuu. Pako vzr mno!Kwahiyo mwanetu roho ilikuuma ulivyooona vijana wanarandaranda ukajiuliza kwanini fursa ya kujenga shule hawajaiona
Hakika mkuuHongera sana mkuu,panavutia sana aisee
Koompasia excelsaNaomba jina la mti huu Tafadhar iwe kilugha ama Kwa kiswahili nahifadhi kumbukumbu.
View attachment 3155020
Mkuu ukweli usemwe!! Nimezunguka sehemu nyingi sana lkn vijana Hawa ni wavivu Hilo halibafirishi kitu chochote. Pia Mimi ni mtafutaji kama wewe tu wakuunga unga Fursa yoyote nikiona Huwa nakuwa Tyr Kwa mapambano.Wewe mkuu umejiandaa safari ukiwa na kibunda chako. Lakini jmeleta dhsrau etu vijans ni wavivu.
Watu mkishapata kidogo tu maskini mnawaona hawana akili ni wavivu
Hakika mkuu ni Thailand ya Bongo hii!!Kote huko nakujua na nilishafika mpaka Sunya kule. Kwa upande wa Turiani mpak Negero kule ni kuzuri aisee.
Miti Hii inavutiwa sanaJina sulijui ila imejaa huo ukanda kuanzia chalinze ,Tanga,Morogoro
Sisi wakulima ardhi Ina julikana Kwa macho tu. Hata ukiangalia mazao yaliyotoka mfano mabua na Hina la mmea utajua wazi hii ardhi Bado Inaita. Kuna maeneo Bado ni bikira kabisa.Umejuaje ardhi ina rutuba kama hujaa na kuishi ukalima ukaona kinachotoka.....mkuu unaangalia kwa macho?
Ni ukweli kabisa mti huu unavutia mnoo!Ndio jina lake huo mti? Pia ni dawa huo mti, ukichanjiwa nyota inang'aa kibiashara na kila kitu,kama unavyovutia wenyewe huo mti (kwa wale waswahili wenzetu)
Mkuu narudi mwezi wa 1 Tena Kwa manunuzi. Saivi nipo Dodoma narudi kahama.Me nipo hapa kibogoji
Vip tunaweza badilishana mawazo
Sawa mkuuMkuu narudi mwezi wa 1 Tena Kwa manunuzi. Saivi nipo Dodoma narudi kahama.
Mkuu yanauzwa heka1 3000-500k haya ni masafi Tyr yaani hayana vichaka na ni kando kando mwa barabara. Bei ya 500k alisema kama Hana Nia anaweza kukuzia bei hiyo lkn mara zote Huwa 300k.Barabara kuu huko kwingine ni chini ya hapo.Alafu mimi hapa natafuta eneo la kufugia karibia miaka miwili sasa bila mafanikio. Nitaenda huku.
Sasa nenda Mlimba, Kilombero, Malinyi, Mahenge, utafurahi na roho yako.Hakika mkuu ni Thailand ya Bongo hii!!
Nimeona imekatwa mkuu. Ukweli nilisitikika kwanza Haina athari yoyte Kwa mazaoHuu mti ni nyara za serikali,ukiukata ni kesi ya kuhujumu uchumi
Ahsantee sana nakuja mwezi wa kwanza usibadirishe I'd Yako nitakuchek mkuu. Hii nakuja Jumla na kununua ardhi kabisa. Tafadhar usibadirishe I'd hii mkuuSasa nenda Mlimba, Kilombero, Malinyi, Mahenge, utafurahi na roho yako.
Tupo pamoja wang'wiseAsante kwa info Nikifa MkeWangu Asiolewe 🤝
Mimi ni msukuma mkuu. Wakija kilokole nadiri nao kilokole wakija kichawi nitaenda nao kimlo ulalo😆Inavutia,kuna picha umesahau kuficha uso wako, watekaji wameshakujua,
pili huyu shemeji yetu anayekula embe ni mzuri sana,
Mwisho kabisa ukiona sehemu ina fursa na watu wamezubaa ujue kuna viashiria vya ushirikina hapo,ukienda oitisha chale za kisukuma
Uhakika mkuuMaelezo yakutosha, Attachments zakutosha, uzi HipHop ya Ngosha, niko naurudia hapa na wanangu. Umetisha sana