Sijajutia kabisa safari yangu ya Morogoro kuangalia maeneo (ardhi) ya uwekezaji

Duuh kweli utajiri unakuja kwa kuwa na taarifa sahhhi mapasheni hayo 3 ya 200 huku towmn moto mjini ni 1000 matatu maana yake hapo ukiweka transport ya sh 150 kwenye hiyo 200 ukija mjini kuna faida yako ya 650 kwa hayo mapasheni umenunua 200.

Fenesi kubwa kama hilo la 1000 ukija town hukosi faida ya kuanzia 3000. Maana yake ukiwekeza 400,000 kwa mwezi, una uwezo wa kupata faida mara mbili yake yaani 800,000 kama faida kila mwezi.

Assuming mzigo utaonunua utauzika bila kelele
 
Hongera sana ndugu yangu tatizo watu wanakimbia vijijini.sababu ya Uchawi,nenda ukalime uone utakachovuna ndiyo maana watu wanajikatia tamaa
 
Kweli nchi yetu Mungu ameibariki sana ni sisi tu tunakosa hamasa pia serikali ndio ingewekeza maeneo kama hayo kupitia BBT na project nyingine nyingi sasa hivi tusingekuwa tunaletewa mahindi ya msaada na ngano kutoka Ukraine au Russia.
Ni aibu sana mkuu kuletewa chakula na sio aibu tu ni laana ndio maana inatutafuna Hadi Leo hii.

Nimepita maeneo kadhaa naona watu wanapalilia mpunga wengine wanavuna imagine!!

Hiyo barabara ya kutoka Turiani wanavuna mpunga sio mchezo.

Unapoamabiwa tuna uhaba na sukari unashindwa kuelewa serikali yetu Iko wapi na inafanya Nini!

Ng'ombe kule wanachunga ka wapo Eden japo hatujaiona
 
Mkuu ramani inasoma ni maeneo ya Tunguli Tanga tulipita kwenye machine Moja ya kusaga na kukoboa niliona na kushanga sana. Mimi pia ni mfugaji wa kuku kwetu Sasa Hivi ni 25k debe6 hapo ni kujaza gunia sio kupima halafu 10k

Unaweza ukatetema
 
Mwaka 2017 nilinunua Dar embe dodo og 1500. Lakini hapo jero500 unapewa mawili mawili laiti kama tungeenda na gari mbona ningerudi na nauli yangu ingekuja Rudi tu!

Nilichukua mzigo mkubwa gharama ikaja kama6000 nikampa 15,000/= kulikuwa na watoto nikawachia buku2 kama urafiki nilikuwa na furaha sana
 
Hongera sana ndugu yangu tatizo watu wanakimbia vijijini.sababu ya Uchawi,nenda ukalime uone utakachovuna ndiyo maana watu wanajikatia tamaa
Kwakweli wachawi wanafelisha sana watu asee!! Isingelikuwa hivyo daah sijui tu. Lakini nitaenda nilishindwa Mimi ardhi wataikuta Watoto wetu na mambo yatakuwa yamebadilika
 
Mkuu ramani inasoma ni maeneo ya Tunguli Tanga tulipita kwenye machine Moja ya kusaga na kukoboa niliona na kushanga sana. Mimi pia ni mfugaji wa kuku kwetu Sasa Hivi ni 25k debe6 hapo ni kujaza gunia sio kupima halafu 10k

Unaweza ukatetema
Kabisa , hapo ukiwa na kimtaji kiasi ,unafuga nguruwe wananenepa hasa ,msosi wa kutosha
 
Hili jina mbona linatisha mkuu ?
Tunguli tena ? ,Walifikiri nini mpaka kupaita tunguli ,au ni kijiji cha walozi na wachawi ?
Hata Mimi niliuliza mara3 nikaambiwa andika hivyo Tunguli mkuu. Bado nahitaji wenyeji wa eneo husika watupe abc zake. Hapa Kuna ardhi nzuri mno ya kulima matunda hasa maembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…