William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Kitila ni mtu maarufu sana anajulikana sana,sababu hatumii pen name na alikuwa rais wa Daruso hivyo hakuna haja ya kuhakikisha kama ni yeye. naona Brazamen anaonewa bure na Lunyungu na kulikuza jambo lisilo na msingi.
Mkuu wangu kifimbo, naomba niende ndani zaidi labda nitaweza kukuelewesha wewe na wengine wanaonekana kutoelewa madhara ya hiki kitendo cha kukurupuka na info hapa Jf,
Heshima mbele kwanza, mambo kama hayajakukuta, haina maana kuwa hayatakuja kukuta, na kwa kawaida kama hayajakukuta ni rahisi kusema anything, lets not take things for granted, ninachoomba tu ni kwamba tuwe waangalifu sana na this kind of information, sawa kuna kulumbana kisiasa, na the rest of the story, lakini mambo ya kushambuliana personal kwa ishu nyeupe kama hii kwa kweli sio cool.
Kwa hiyo usichukulie for granted kwamba jina la mtu fulani linafahamika na kila mtu, Brazameni kwenye hili amekosea na ni vyema akajirekebisha maana hili alilolifanya lina-cross all the lines za usalama wetu wa binafsi as members hapa, ukipata info za namna hii please uliza kwanza wengine, Kwa hiyo mkuu wangu na wakuu wengine, nimeamua kwenda deep kidogo na info, ili kuweka msisitizo kwamba kuna tunayoweza kucheza nayo, lakini sio hili alilolifanya Brazameni, ingawa ninaaamini tu kuwa amekosa na anahitaji kusamehewa, lakini wote we should take a note, tena a serious one kutokana na makosa yake.
Ahsante Wakuu!