Sijakamatwa wala kushikiliwa na mtu yeyote!

Status
Not open for further replies.
Kitila ni mtu maarufu sana anajulikana sana,sababu hatumii pen name na alikuwa rais wa Daruso hivyo hakuna haja ya kuhakikisha kama ni yeye. naona Brazamen anaonewa bure na Lunyungu na kulikuza jambo lisilo na msingi.

Mkuu wangu kifimbo, naomba niende ndani zaidi labda nitaweza kukuelewesha wewe na wengine wanaonekana kutoelewa madhara ya hiki kitendo cha kukurupuka na info hapa Jf,

Heshima mbele kwanza, mambo kama hayajakukuta, haina maana kuwa hayatakuja kukuta, na kwa kawaida kama hayajakukuta ni rahisi kusema anything, lets not take things for granted, ninachoomba tu ni kwamba tuwe waangalifu sana na this kind of information, sawa kuna kulumbana kisiasa, na the rest of the story, lakini mambo ya kushambuliana personal kwa ishu nyeupe kama hii kwa kweli sio cool.

Kwa hiyo usichukulie for granted kwamba jina la mtu fulani linafahamika na kila mtu, Brazameni kwenye hili amekosea na ni vyema akajirekebisha maana hili alilolifanya lina-cross all the lines za usalama wetu wa binafsi as members hapa, ukipata info za namna hii please uliza kwanza wengine, Kwa hiyo mkuu wangu na wakuu wengine, nimeamua kwenda deep kidogo na info, ili kuweka msisitizo kwamba kuna tunayoweza kucheza nayo, lakini sio hili alilolifanya Brazameni, ingawa ninaaamini tu kuwa amekosa na anahitaji kusamehewa, lakini wote we should take a note, tena a serious one kutokana na makosa yake.

Ahsante Wakuu!
 
Kitila,

Pole sana mkuu na familia yako yote! maana mara baada ya kuisoma ile thread nikaona sasa wanatutafuta ubaya...
Big up kwa swali lako ..
Wembe.
 
Kitila good to hear you are fine

tuendeleze mapambano mzee na hongera kwa ku-point out suala la EPA.........message sent

tuko wote Mkuu
 
Kitila,

am sorry for what happened. But you know as well as i do--that the cost of democracy is so high...keep it up brother!
 
Ndugu Kitila Pole Sana Kwa Yaliyokukuta Na Pia Hongera Sana Kwa Kutumia Jina La Asha Abdlah Siamini Mtu Kama Wewe Mwenye Heshima Zako Unatumia Majina Zaidi Ya Mawili Tena La Kike Kama Hilo Asha Abdalah Basi Kuanzia Leo Na Hata Kesho Tutaanza Kukuangalia Na Kufikiria Vingine Kabisa .

Nimeshaamini Sasa Inawezekana Ulikuwa Na Mawasiliano Ya Karibu Na Brazameni Kabla Ya Hapo Mambo Yenu Yakaenda Siko Ndio Mkaja Kuvunjiana Heshima Hapa , Naamini Kwa Zaidi Ya Asilimia 100 Kwamba Unajua Ana Brazameni Hiyo Hain Abishi Pamoja Na Mswahili .

Lunyungu Nimekua Nikikuonya Siku Nyingi Sana Mpaka Pm Nimekutumia Kuhusu Tabia Zako Chafu Za Kuropoka Kusema Maneno Ambayo Hayana Maana Na Kutumia Majina Ya Watu Ndivyo Sivyo Mimi Sipendi Kudhalilishwa Kwa Njia Yoyote Na Mtu Wowote Yule

Sasa Kama Unataka Kuanzisha Vita Na Mimi Nakuomba Uache Mara Moja Unapoongea Mada Ongelea Kinachohusu Mada Hiyo Usiingize Vitu Visivyohusu Mada Hiyo Nyie Ndio Mnaaharibu Hizi Forum

Au Unafikiri Bila Wewe Ndio Hakuna Kitu ?

Watch Ur Steps
 
Jamanii eeeeeehhhh. Sasa mmezidi. Nimenyamaza naona mnazidi tu kushadadia uzushi. Ijulikane wazi kama mimi si Kitila Mkumbo. Kitila yuko Uingereza, kama mnaweza kuona location mtajua kwamba mimi nahama hama kati ya Dar es salam na Zanzibar. Nyumbani Zanzibar, lakini kwa sasa niko Dar es salaam. Kwa hiyo mwacheni Kitila wa watu. Halafu inaonyesha unaniona mimi kiazi sana. Lakini hebu rudia kusoma mwenyewe post zako humu ndio utajijua wewe ni mtu wa namna gani Shy. Mi nshakusamehe, sitaki kujipa najisi

Asha
 
Asha,
Just ignore the accusations. Ukiwa na majina hata 10 ukumbini kuna ubaya gani? Muhimu ni michango ya hoja zako na sio majina. Anayekusakama achana naye wewe endelea tu na mikakati yako maana ukiwaendekeza utapoteza muda wako bureee.
 
Ikishafikiaga hatu hii ya kuchafuana ndo ninapoonaga utamu wa JF na fikra tofauti za waungwana, Haya yangu mi macho ngoja nijipumzishe kidogo nikiamka basi ntakura mengi yameshaongelewa....
 
Any way SONGELA SANA MKULU WANE. LEKA INE NDUME MAGAE NI MATOGO NIKAKUKULETELA KU AIRPORT

MUNTUA WAKO
 
Ndugu Kitila Pole Sana Kwa Yaliyokukuta Na Pia Hongera Sana Kwa Kutumia Jina La Asha Abdlah Siamini Mtu Kama Wewe Mwenye Heshima Zako Unatumia Majina Zaidi Ya Mawili Tena La Kike Kama Hilo Asha Abdalah Basi Kuanzia Leo Na Hata Kesho Tutaanza Kukuangalia Na Kufikiria Vingine Kabisa .

Nimeshaamini Sasa Inawezekana Ulikuwa Na Mawasiliano Ya Karibu Na Brazameni Kabla Ya Hapo Mambo Yenu Yakaenda Siko Ndio Mkaja Kuvunjiana Heshima Hapa , Naamini Kwa Zaidi Ya Asilimia 100 Kwamba Unajua Ana Brazameni Hiyo Hain Abishi Pamoja Na Mswahili .

Lunyungu Nimekua Nikikuonya Siku Nyingi Sana Mpaka Pm Nimekutumia Kuhusu Tabia Zako Chafu Za Kuropoka Kusema Maneno Ambayo Hayana Maana Na Kutumia Majina Ya Watu Ndivyo Sivyo Mimi Sipendi Kudhalilishwa Kwa Njia Yoyote Na Mtu Wowote Yule

Sasa Kama Unataka Kuanzisha Vita Na Mimi Nakuomba Uache Mara Moja Unapoongea Mada Ongelea Kinachohusu Mada Hiyo Usiingize Vitu Visivyohusu Mada Hiyo Nyie Ndio Mnaaharibu Hizi Forum

Au Unafikiri Bila Wewe Ndio Hakuna Kitu ?

Watch Ur Steps

Mtu anapoandika post kama hii anatarajia tumweleweje? Mbona unataka kugeuza mijadala makini kuwa udaku?
 
Mimi nakubaliana na Asha, Naona Shy ana personal attack.. Ukiangalia thread hii imeanzishwa na Kitila Mkumbo kutuarifu sisi wana JF kuwa yupo salama..Hii ndio hoja iliyopo mezani.. naona ndani yake umezuka udaku, chuki na matusi.. Jamani wana JF najua kila Bin Adam ana mawazo yliyo tofauti na mwenzake ndio maana tupo kama tulivyo laa sivyo wote tungekuwa kama Kondoo... Pia kw akuwa na mawazo na fikra tofauti ndio tunaijenga JF na Serekali yetu kwa ujumla.. Hebu tuwe wapole kidogo kwenye kusoma thread nzima, kama una cha kujibu jibu kama hauna kaa kimya usitake kujibu ili kuongeza points tuu.. Uzuri wa JF watu wote wenye kusoma hii Forum ni watu wenye akili timamu na pia watu ambao tunategemea watakuwa na mawazo mazuri sana.. Ila tusisahau ukipanda mbegu za Mahindi magugu nayo yanaota pamoja na Mahindi kwa hiyo ni jukumu la mkulima kuchambua yapi ni magugu na yapi ni Mahindi. Moderator angalia magugu uyaondoe ili mahindi yaweze kustawi vizuri.. nimegundua kuwa magugu ni mengi sana hapa JF kw akuwa tunamkonga Nyani bila uoga.. watu wametumia pesa zao nyingi sana kuizuia wameshindwa sasa wameamua kupanda magugu..

Mzee mwenzangu Kitila Mkumbo pole kwa uzushi kaka.. Naamini wewe ni mkomavu kwenye mambo haya sio mara ya kwanza kuzushiwa mambo utakumbuka ulipokuwa UDSM mengi tuu yalizushwa ila wewe uko imara.. Keep it up Brother
 
Pole sana Mkuu Kitila kwa usumbufu wa aina yeyote ulioupata. Mimi sikuwa na wasiwasi na usalama wako especially nilipoona habari hii imeandikwa na Brazaman. Ila nilihisi watu wanaweza kuanza kuogopa either kutoa mada zao humu JF au kuuliza maswali huko nyumbani. Lakini JF wamedhihirisha duniani kote kuwa HAOGOPWI MTU au KIVULI CHAKE.
Kuna Mwanachama mmoja ameonyesha wasiwasi JF inaweza kuteketea kwa kuingiliwa na hawa Vijana wa MAKAMBA. JF haitateketea hata kwa msaada wa EPA, zaidi itazidi kujipanua kwenye sehemu zingine ambazo watu hawajapata habari zake.

Hongera Kitila kwa kuweka mambo sawa hapa JF na ninaamini ni muda muafaka kwa Brazaman aje hapa kwenye baraza ajisafishe au aeleze source ya habari yake na si kujizushia.

JF MBELE KWA MBELE.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom