matemabi
Senior Member
- May 2, 2017
- 113
- 145
Leo nataka kuwakumbusha watu kupitia kisa kilichonisibu katika hofu ya uwekezaji.
Mimi ni kijana ambae mpaka nina miaka 30+ ila ninategemea malipo ya mwajili pekee huku nikiwa na majukumu ya familia i.e mke watoto na kusomesha.
Kipindi fulani wakati nakutana na wahamasishaji wa ujasiliamali kama kilimo cha nyanya na matikiti nilipokaa pekeangu kuchambua risks nilijiogopesha mwenyewe na mwishowe naachana na kila kitu… naendelea na kumtegemea mwajili.
Cha kushangaza zaidi nikiwa mtaani kwenye pita pita zangu nakutana na matikiti ya kutoshaaa na nyanya za kutoshaa magari kwa magari yaleta mzigo mjini kwa ajili ya kuuzwa.
Swali likaja!!!
Hivi hawa walikuwa hawaoni changamoto kweli,maana kulikuwa na swala la maji, ulinzi, kuibiwa, imani za kishirikina etc… ina maana hawa hawakuziona ama kukumbana nazo. Huku naendelea kujiuliza maswali kwa muda wote huo wa miaka kadhaa pia naendelea kula/ kununua bidhaa hizi [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwezi huu nikaamua hofu changamoto tupa kule ila zikija ntapambana nazo. Hapa ni kuwekeza kwa umakini kuwa vigilant na changamoto of course lazima zije tuu ila ntapmbana nazo moaka kielekeweke.
Tukapambane jamani!