Sijali tena kuhusu changamoto za uwekezaji

matemabi

Senior Member
Joined
May 2, 2017
Posts
113
Reaction score
145
Leo nataka kuwakumbusha watu kupitia kisa kilichonisibu katika hofu ya uwekezaji.

Mimi ni kijana ambae mpaka nina miaka 30+ ila ninategemea malipo ya mwajili pekee huku nikiwa na majukumu ya familia i.e mke watoto na kusomesha.

Kipindi fulani wakati nakutana na wahamasishaji wa ujasiliamali kama kilimo cha nyanya na matikiti nilipokaa pekeangu kuchambua risks nilijiogopesha mwenyewe na mwishowe naachana na kila kitu… naendelea na kumtegemea mwajili.

Cha kushangaza zaidi nikiwa mtaani kwenye pita pita zangu nakutana na matikiti ya kutoshaaa na nyanya za kutoshaa magari kwa magari yaleta mzigo mjini kwa ajili ya kuuzwa.

Swali likaja!!!
Hivi hawa walikuwa hawaoni changamoto kweli,maana kulikuwa na swala la maji, ulinzi, kuibiwa, imani za kishirikina etc… ina maana hawa hawakuziona ama kukumbana nazo. Huku naendelea kujiuliza maswali kwa muda wote huo wa miaka kadhaa pia naendelea kula/ kununua bidhaa hizi [emoji23][emoji23][emoji23]

Mwezi huu nikaamua hofu changamoto tupa kule ila zikija ntapambana nazo. Hapa ni kuwekeza kwa umakini kuwa vigilant na changamoto of course lazima zije tuu ila ntapmbana nazo moaka kielekeweke.

Tukapambane jamani!
 
Mi niko kwenye point ambayo mshahara wa mwajili haunitoshi kabisa zaidi zaidi najikuta kwenye madeni, nimeamua zangu kujitosa kwenye ujasiliamali huku naendelea na kazi, najua ntakutana na changamoto ila ntasonga nazo hvyo hinyo. Hakuna kurudi nyuma tena
 
Mimi naweza kuwa na wazo la biashara ila nguvu ya kunifanya nichukue hatua ndo nashindwa, sina insue nyingine inayoniingizia kipato zaidi ya ufundi ingawa kazi za kutegemea ufundi wa kuitwa na sio ule wa kusubiri wateja wakufuate huwa ni changamoto kwa kweli,
Natamani niyenyuke hapa nilipo nianzishe hata kibiashara chochote
 
Tupambaneeee
 
Mh! Ninawasiwasi hamna kitu utafanya hapo sabab mwisho wa siku ni lazima ukubali kua lazima uchague moja kati au biashara. Kazi na biashara kwapamoja vinaongeza changamoto zaidi kuliko kupunguza.
 
Simu ni moja tu mkuu tukutane benki,komaaa.
 
Mimi naweza kuwa na wazo la biashara ila nguvu ya kunifanya nichukue hatua ndo nashindwa, sina insue nyingine inayoniingizia kipato zaidi ya ufundi ingawa kazi za kutegemea ufundi wa kuitwa na sio ule wa kusubiri wateja wakufuate huwa ni changamoto kwa kweli,
Natamani niyenyuke hapa nilipo nianzishe hata kibiashara chochote
Fundi mjenga nyumba ama fundi gani?
 
Mh! Ninawasiwasi hamna kitu utafanya hapo sabab mwisho wa siku ni lazima ukubali kua lazima uchague moja kati au biashara. Kazi na biashara kwapamoja vinaongeza changamoto zaidi kuliko kupunguza.
Labda km anafanya biashara za Real estate ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naweza kuwa na wazo la biashara ila nguvu ya kunifanya nichukue hatua ndo nashindwa, sina insue nyingine inayoniingizia kipato zaidi ya ufundi ingawa kazi za kutegemea ufundi wa kuitwa na sio ule wa kusubiri wateja wakufuate huwa ni changamoto kwa kweli,
Natamani niyenyuke hapa nilipo nianzishe hata kibiashara chochote

Fanya biashara sio kwa ajil ya pesa bali kwa ajil ni kitu unakipenda utakifanya kwa ukamilifu changamoto utapambana nazo
 
Usiwekeze mahali Kwa sababu watu wanafanya huo mradi. Wekeza kwenye mradi ambao upo ndani ya uwezo wako utakuja nishukuru ya baadae.
 
Back
Top Bottom