Sijamuelewa CAG, kwamba anataka wastaafu wachangie bima ya afya? Hizi ni akili za wapi? Tukatae Kwa Sauti

Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana.

Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia.

Sasa swali langu Kwa CAG anaelewa kweli maana ya mstaafu? Hii nchi yetu ina laana gani? Ni Kwa nini watu wakiwa kwenye maofisi hawafikirii maisha ya wastaafu?

Tanzania kamwe Mungu hawezi kuibariki kama itaendelea kutowathamini wazee.

Hawa watu ni wa kukemewa vikali, madhara ya kuwakalia kimya watakuja na Sera ya wazee kuchangia matibabu Kwa kisingizio wanaitia hasara NHIF wakati ujana wao wote wametumika serikalini na sasa wamejichokea nyumbani CAG anataka wanyang'anywe hata haki ya matibabu, hii ni roho mbaya na ubinafsi uliopitiliza.

Tuseme Kwa Sauti Kwa hili hapana mnatafuta laana.

Wajifunze nchi za ulaya na Marekani serikali zao zinatowa ajira kabisa Kwa watu wa kulea wazee Sisi Tanzania tunataka kuwauwa kabla ya siku zako, tulikatae wazo ovu la CAG.
Hii hoja ya CAG inafikirisha!Labda kuna ushauri mzuri ameutoa kwa Serikali wa namna ya kurekebisha mapungufu aliyoyabaini kwenye suala la Wastaafu kufaidi huduma ya Bima ya afya bila malipo.Tusubiri majibu ya Serikali.

Nawasilisha,

Article.
 
Luckily! Nilikataa kata kata kuwa Mfanyakazi hii nchi. Namshukuru Mungu kwa maamuzi yangu niliyoyafanya way back 2013 nikimaliza degree yangu chuo pendwa mjini. Hawa hawa wastaafi pesa zao hamtoi zote, hawa hawa wastaafu walipe Bima. Aisee
 
Hii ndio sababu ya Mgogoro wa NHIF na watoa huduma , serikali inataka gharama ziwe chini mno kuliko uhalisia jambo ambalo halitawezekana , naona sasa wamekuja na mkakati mpya wa kutaka wastaafu waanze kujilipia .

Nakulilia Tanzania
Yaan,
Market price za madawa na vifaa tiba iliyopo sokoni ipo irrelevant na Bei za NHIF yaan wame quote Bei ambazo hazi exit in real world..

Pia NHIF wame ondoa dawa nyingi Sana

Inasikitisha na kushangaza sanaa
 
Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana.

Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia.

Sasa swali langu Kwa CAG anaelewa kweli maana ya mstaafu? Hii nchi yetu ina laana gani? Ni Kwa nini watu wakiwa kwenye maofisi hawafikirii maisha ya wastaafu?

Tanzania kamwe Mungu hawezi kuibariki kama itaendelea kutowathamini wazee.

Hawa watu ni wa kukemewa vikali, madhara ya kuwakalia kimya watakuja na Sera ya wazee kuchangia matibabu Kwa kisingizio wanaitia hasara NHIF wakati ujana wao wote wametumika serikalini na sasa wamejichokea nyumbani CAG anataka wanyang'anywe hata haki ya matibabu, hii ni roho mbaya na ubinafsi uliopitiliza.

Tuseme Kwa Sauti Kwa hili hapana mnatafuta laana.

Wajifunze nchi za ulaya na Marekani serikali zao zinatowa ajira kabisa Kwa watu wa kulea wazee Sisi Tanzania tunataka kuwauwa kabla ya siku zako, tulikatae wazo ovu la CAG.
Nchi km US ukikosea kutoa sera nzuri juu ya bima ya afya ujue kushinda uchaguzi ni ngumu ,tofauti na kwetu hapa
 
H
Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana.

Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia.

Sasa swali langu Kwa CAG anaelewa kweli maana ya mstaafu? Hii nchi yetu ina laana gani? Ni Kwa nini watu wakiwa kwenye maofisi hawafikirii maisha ya wastaafu?

Tanzania kamwe Mungu hawezi kuibariki kama itaendelea kutowathamini wazee.

Hawa watu ni wa kukemewa vikali, madhara ya kuwakalia kimya watakuja na Sera ya wazee kuchangia matibabu Kwa kisingizio wanaitia hasara NHIF wakati ujana wao wote wametumika serikalini na sasa wamejichokea nyumbani CAG anataka wanyang'anywe hata haki ya matibabu, hii ni roho mbaya na ubinafsi uliopitiliza.

Tuseme Kwa Sauti Kwa hili hapana mnatafuta laana.

Wajifunze nchi za ulaya na Marekani serikali zao zinatowa ajira kabisa Kwa watu wa kulea wazee Sisi Tanzania tunataka kuwauwa kabla ya siku zako, tulikatae wazo ovu la CAG.
Uko Ulaya na Marekani umeenda mbali mno Zanzibar tu hapo wazee na raia wengine wote wanatibiwa bure pia Kuna umri ikifika nahisi kuanzia miaka 70 wanalipwa pesa ya kujikimu Kila mwezi.
 
Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana.

Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia.

Sasa swali langu Kwa CAG anaelewa kweli maana ya mstaafu? Hii nchi yetu ina laana gani? Ni Kwa nini watu wakiwa kwenye maofisi hawafikirii maisha ya wastaafu?

Tanzania kamwe Mungu hawezi kuibariki kama itaendelea kutowathamini wazee.

Hawa watu ni wa kukemewa vikali, madhara ya kuwakalia kimya watakuja na Sera ya wazee kuchangia matibabu Kwa kisingizio wanaitia hasara NHIF wakati ujana wao wote wametumika serikalini na sasa wamejichokea nyumbani CAG anataka wanyang'anywe hata haki ya matibabu, hii ni roho mbaya na ubinafsi uliopitiliza.

Tuseme Kwa Sauti Kwa hili hapana mnatafuta laana.

Wajifunze nchi za ulaya na Marekani serikali zao zinatowa ajira kabisa Kwa watu wa kulea wazee Sisi Tanzania tunataka kuwauwa kabla ya siku zako, tulikatae wazo ovu la CAG.
Msiwege mnasikiliza hotuba za CAG
 
bima ni kamali kupata hasara bima kawaida serikali tu waongeze ruzuku mfuko wa bima waachane kabisa na uchizi wakupeleka ruzuku atcl wawaachie fastjet kichele aache uongo hasara ni kuwalipa wake za viongozi wastaafu safari za nje ya nchi wakati kuna mawaziri wa mambo ya nje na vingine vingi.
 
Yaan,
Market price za madawa na vifaa tiba iliyopo sokoni ipo irrelevant na Bei za NHIF yaan wame quote Bei ambazo hazi exit in real world..

Pia NHIF wame ondoa dawa nyingi Sana

Inasikitisha na kushangaza sanaa
Mama anaupiga mwingi na hatutakuwa na fomu za urais , tutamuapisha tu
 
Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana.

Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia.

Sasa swali langu Kwa CAG anaelewa kweli maana ya mstaafu? Hii nchi yetu ina laana gani? Ni Kwa nini watu wakiwa kwenye maofisi hawafikirii maisha ya wastaafu?

Tanzania kamwe Mungu hawezi kuibariki kama itaendelea kutowathamini wazee.

Hawa watu ni wa kukemewa vikali, madhara ya kuwakalia kimya watakuja na Sera ya wazee kuchangia matibabu Kwa kisingizio wanaitia hasara NHIF wakati ujana wao wote wametumika serikalini na sasa wamejichokea nyumbani CAG anataka wanyang'anywe hata haki ya matibabu, hii ni roho mbaya na ubinafsi uliopitiliza.

Tuseme Kwa Sauti Kwa hili hapana mnatafuta laana.

Wajifunze nchi za ulaya na Marekani serikali zao zinatowa ajira kabisa Kwa watu wa kulea wazee Sisi Tanzania tunataka kuwauwa kabla ya siku zako, tulikatae wazo ovu la CAG.
Itakuwa huyu CAG hana wazazi!
 
Mimi nadhani mpuuzi ni aliyemteuwa na ameendelea kumuacha kwenye hiyo nafasi hata baada ya kutamka ujinga huo.

Kwa maneno mengine wamekutana pipa na mfuniko,mteuwa na mteuliwa.
Huyo aliteuliwa na Magufuli na kikatiba Rais hana mamlaka ya kumuondowa CAG mpaka astaafu.

Rais amepewa mamlaka ya kuteuwa CAG tu, lakini hajapewa mamlaka ya kumuondowa.
 
Hajamaanisha wastaafu wake za maraisi, mawaziri wakuu na makamo?
Hao wameongezewa mafao, hii ni hoja ilipelekwa bungeni na genius Salma Kikwete.

Sasa huyu sijui alipwe mafao yepi, ya mke wa Rais au mbunge?

Ndio maana katika Vitu Mimi huwa siogopi ni kuniambia kuna Jehenamu na motoni, kama kuna Jehenamu na motoni basi wahusika wapo kama hawa kina Salma Kikwete.
 
Nimemsikiliza CAG Ikulu Dodoma wakati wa kuwasilisha report yake Kwa Rais nimeshtuka sana.

Moja ya sababu alizozitaja za NHIF kupata hasara ni wastaafu kutibiwa bila kuchangia.

Sasa swali langu Kwa CAG anaelewa kweli maana ya mstaafu? Hii nchi yetu ina laana gani? Ni Kwa nini watu wakiwa kwenye maofisi hawafikirii maisha ya wastaafu?

Tanzania kamwe Mungu hawezi kuibariki kama itaendelea kutowathamini wazee.

Hawa watu ni wa kukemewa vikali, madhara ya kuwakalia kimya watakuja na Sera ya wazee kuchangia matibabu Kwa kisingizio wanaitia hasara NHIF wakati ujana wao wote wametumika serikalini na sasa wamejichokea nyumbani CAG anataka wanyang'anywe hata haki ya matibabu, hii ni roho mbaya na ubinafsi uliopitiliza.

Tuseme Kwa Sauti Kwa hili hapana mnatafuta laana.

Wajifunze nchi za ulaya na Marekani serikali zao zinatowa ajira kabisa Kwa watu wa kulea wazee Sisi Tanzania tunataka kuwauwa kabla ya siku zako, tulikatae wazo ovu la CAG.
Mimi nimemuelewa CAG hivi.
Sera ya Afya inataka wazee watibiwe bure. Maana yake ni kwamba liwekwe dirisha la wazee Kila zahanati Hadi hospitali ya rufaa, ambapo wazee watapewa huduma bure kuanzia gharama za kumuona daktari Hadi upasuaji. Gharama hizi zibebwe na serikali maana ndo yenye Sera. Lakini Kwa Sasa serikali inakaa kimya huku wastaafu wakitibiwa na Bima ya Afya kinyume cha Sera ya serikali. Maana yake ni kwamba Kwa upande wa matibabu mstaafu wa serikali hapswi kuwa tofauti na mzee Mkulima wanayelingana umri, wote watibiwe Kwa gharama za serikali na si NHIF.
 
Watanzania kwa maamuzi wanayochukua kwa ndugu zao ni kama wamelaaniwa huwa hawajali kabisa kwa sababu ya Ubinafsi tu.
 
SWALI LA KIZUSHI, HIVI CAG nae anakaguliwaga?
Anakaguliwa na taasisi kama KPMG, Water coopers and likes.

Kama kuna Jambo zito extra ordinary bunge linaweza kuitisha ugaguzi maalum Kwa CAG lakini si Kwa visasi kama alivyofanya Ndugai Kwa Profesa Assad.
 
Nchi nyingi duniani, wazee wana lipwa fao la uzee. Yeye ana kuja na mawazo mfu karne ya 21.
 
Back
Top Bottom