Sijamuelewa mke wangu

Tunahitaji neno lako mama...ndoa ni ngumu sana
Sina cha kuongeza, wamama hata wale wavaa hijab wanakunywa, hapa nauza vinywaji ni wateja wazuri tu, ukisikiliza wakiongea eti mbona wanaume wanywa.

Mmoja hapa majuzi kamtandika mumewe ngumi huku mume ana mshono wa tezi,

Vumilieni.
 
Si wataairisha maana kuna kazi ya dharrura itajitokeza ofisini kwao so itabidi waifanye on Sunday 😄😄😄😄
 
Sina cha kuongeza, wamama hata wale wavaa hijab wanakunywa, hapa nauza vinywaji ni wateja wazuri tu, ukisikiliza wakiongea eti mbona wanaume wanywa.

Mmoja hapa majuzi kamtandika mumewe ngumi huku mume ana mshono wa tezi,

Vumilieni.
Watulie na wenyewe kuimba kupokezana nipe namba ya huyo mama nimpe desperado 4 za pongezi
 
Ukikaa na mwanamke sanaaa wallah munaanza kufanana ndo usemi wa "nitakupa wa kufanana naye" ndo unatimia,miaka 17 kasolo 1 umri wa kijana kujitegemea kiserikali maadamu umeshazaa naye kwa ajili ya watoto wako usimuacha mpige matukio tuu yaanii toa chuma weka chumaa.na mungu akufanyie wepesi inshaallah!
 
[mention]Mshana Jr [/mention] umeandika uzi mzuri sana lkn pamoja na zile sababu zako zote hii inafaa ianze juu kabisa
Wanawake duniani sio tanzania tu asilimia kubwa wamekua "western women" ndio maana kuna movement kubwa ya watu wa ulimwengu wa kwanza hasa marekani kuchukua passport ili wazunguke hasa bara asia na america kusini na africa kwenda kutafuta wanawake wa kuoa

Wanawake lazima waamue kua wake na sio kua wanawake tu
Kuna tofauti kidogo ya kua mwanamke na kua mke

Watu wanapigwa matukio mpaka wanabakia kutoa macho tu

Binafsi nitaoa na mwanamke nitakae muoa ni yule atakaekubali kua mke
 
Hakuna mahusiaano ya wizi ya wazi.
Kwani huwa mnakagua simu za wafanyakazi wote,kujua mawazo yao kuhusu mahusiaano.
Pana watu ni wezi sugu lakini utogundua
 
Soma hapo ndugu..
 
Yaani hata kama hana mpango wa kkwenda yeye amwambie tu kesho tunaenda wote. Kisha angalia reaction yake
 
Pole sana Mkuu mrejesho.
 
Bora niitwe katili ila huo ujinga siwez kuukubali hapa kwangu ni mfumo dume hataki ,aachie ngaz ukiwa hiv hakuna mwanamke wa kukusumbua kichwa
 
Wanaume mna vivu, looh. Ninyi mkojiorganize kwenda mahali, sawa tu mnaenda, ila wake zenu wakijiorganize, inakuwa balaa, mnataka eti kuwaacha. Hisia tu unataka kumwacha wife, je ukiona live si ndio utaua kabisa?
 
Mwanamke anaetafuta lig na mwanaume mwisho wake lazima uwe mbaya ,sisi hatukuumbwa hivo kumbuka ni mke sio mchepuko kuitwa mke ni heshima tosha sisi wivu ni WA kiwango Cha sgr hata niwe na michepuko 7000 mtu akimgusa mke wangu lazima pachimbike
 
Kuz
Kuzungumza hivi nirahisi sana ....just simple ....ila omba sana yasikukute
 
Mkuu umefikia wapi?
 
Wanaume mna vivu, looh. Ninyi mkojiorganize kwenda mahali, sawa tu mnaenda, ila wake zenu wakijiorganize, inakuwa balaa, mnataka eti kuwaacha. Hisia tu unataka kumwacha wife, je ukiona live si ndio utaua kabisa?
Kama tulioawana hapo sawa, lakini Kama nilikuowa mashariti na vigezo kuzingatiwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…