Killa Cam
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,264
- 6,679
Ky mkuu wa mkoa kakataza sasa mwendo wa Vaseline 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ky mkuu wa mkoa kakataza sasa mwendo wa Vaseline 😂😂
😂😂😂 Duh! Sikua najuaKy mkuu wa mkoa kakataza sasa mwendo wa Vaseline 😂😂
Sio ofisi zote. Ofisini kwetu hakuna mambo kama hayo. Tena ni kosa kubwa hata kutaniana mambo ya mahusiano. Tunakuwa na reception watu wanakuja na waume au wapenzi wao wanaojulikana. Kwenye reception hakunaga ujinga ujinga, masaa 3 mnaondoka. Kwenye recreation tunalala hotel kubwa na huruhusiwe kuja na wenza . Na tunakuwa pamoja mpaka jioni hadi kila mtu anaenda kulala chumbani kwake.Hakuna biashara isiyo na hasara.
Mimi Katu sitoshiriki hafla au function yeyeto nikialikwa ofisini kwa wife nitatafuta ushuru wowote.
Mzee unaweza ukatinga na suti zako kumbe kuna mme mwenzio ofisini anakusanifu tu. Hawa wanawake wa maofisini huwa na wanaume wawili wa ndoa nyumbani na wa ofisini sababu ya ukaribu wa kazi.
Nanyi wajukuu zangu mjifunze, msiwe kama mke wa mtoa mada.Babu wew ni noma😀
Sisi ofisini kwetu ukigundulika una mahusiano na mfanyakazi mwenzio mnafukuzwa kazi. Hakunaga ujinga wa kutongozana.Mimi nadhani tuweke sheria maalumu ambayo itakaziwa sana na itasimamiwa vikali na kwa nguvu na serikali.
Ikigundulika mwanamke au mwanaume anasaliti eneo la kazi na ushahidi upo wa kutosha then mume au mke halali wa muhusika akafungue mashitaka katika mahakamani maalumu ya ustawi wa jamii ambayo itaanzishwa kwa mujibu wa sheria na itambulike kama chombo cha ustwi wa jamii. Kwanza alipwe fidia isiyopungua milioni 5 au zaidi kwa damage aliyosababishiwa kihisia kwa kudhalilishwa halafu kesi isomwe na ushahidi utolewe kisha barua maalumu itolewe mahakamani kusimamisha maramoja mkataba wa kazi kwa masilahi mapana na ustawi wajamii yetu, kulinda ndoa na watoto. Na zaidi iwe kwamba mhusika kama alikuwa ni muajiriwa wa serikali basi ameshajivua nafasi yake na vyeo vyake vyote na hatoruhusiwa kuomba kazi ofisi yoyote ya serikali labda huko kwenye taasisi au mashirika binafsi.
Tukifanya hivi tuweza kwanza kudhibiti viburi vya wanawake ambao wakisha pata tu kazi na kuanza kuona mshahara wa kwanza idea ya kwanza ni kumletea mume wake dharau na kumkosea adabu ikiwamo kuanzisha mahusiano maeneo ya kazi.
Pili itasaidia kudhibiti tabia za Wanaume maeneo ya kazi kusarandia wake za watu, na kuacha majukumu ya kazi. Unakuta unaingia Kwenye ofisi secretary anadharau na viburi kujibu watu hovyo sababu anajua hakuna wa kumfanya lolote maana ana mahusiano na boss wake na anaona ofisi ya uma kama mali ya familia.
Tusiogope kuweka sheria kama hizi zitasaidia sana kupunguza mifarakano kwenye ndoa na kulinda sana familia maana kuna muda mwanaume anaona tu ngoja avumilie upumbavu wa mkewe sababu kapata kazi mpya na hakuna taasisi wala mamlaka ya kumtetea au kumdhibiti mkewe.
Na kuna wanawake wanahangaika wanaume zao wamepandishwa vyeo makazini wanaruka na wafanyakazi wengine hadi wanawaletea magonjwa majumbani sababu ya umalaya.
😀😀😀Nanyi wajukuu zangu mjifunze, msiwe kama mke wa mtoa mada.
Kumbukeni Babu yenu nimeshakula mahari yenu, hivyo siwezi kurudisha 🤪
Hawa wanawake wa kisasa hawapigwi na kanga tena kama zamani, saivi wanapigwa na meseji ya Mpesa 🤪Kweli mkuu!!
Sio lazima umpige mwanamke anapigwa kwa kanga!
Ila mkuu namimi umenifungua macho nahisi namimi kuna kitu natakiwa kukifanyia kazi maana nshaletewa maombi mara kadhaa kama hayo ya kwenda kulala mahotelini kwa ajili ya vikoba nkayapiga chiniWandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake!
Nikamruhusu kwa roho safi lakini soku moja kabla akanips taarifa hatoweza kwenda kwakuwa wametakiwa wabaki kazini kwani mkuu wao anakuja hivyo safar ikafa, Jana nikampa taarifa ya kuwa Jumapili ijayo tunatakiwa kwenda kumuona mtoto shuleni kwani ni siku ya shukrani kwa watoto kufanya vizuri kwenye mitihani yao, akasema imekuwa vzr kuwa this Sunday kwn next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko, nishtuka ingawa sikujionyesha kwa haraka then nikauliza ni kiofisi akajibu hapana wameji organise, nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!! baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!
Nakaribisha ushauri
Ausio!!Hawa wanawake wa kisasa hawapigwi na kanga tena kama zamani, saivi wanapigwa na meseji ya Mpesa 🤪
Sasa upige kelele uchi wako kwani hata akichapwa nao???Acha ufara ukachapiwe ukae kimya
Good,kumbuka pia kuchapiwa pia ni siri ya ndani na sio kila kitu unaomba ushauri ww pambana na ndoa yako ili ujue hatima yakeWakale walisema "kizuri share na wenzio"
Tunahitaji neno lako mama...ndoa ni ngumu sanaJipeni moyo wanangu.
Mwanaume hana dhambi ya uzinziIla wanaume wafanya kazi sio wachepukaji ?
Oya acha hizoMUDA SI MREFU UTAKUFA.
Napitia hili piaHaya mambo ya kutishana hakunaga hii kitu. Mwanaume unakuwaje na upweke mademu wamejaa kila kona kwenye huu mji, ukitangaza tenda ya kutafuta mwanamke wa kukuliwaza ni dakika tano tu hawa hapa mlangoni.
Unaishi na mtu miaka 10 au 20 halafu unakuja kugundua kuna tabia hakuwahi kukufanyia na ni za ajabu hadi unajiuliza hivi huyu mtu unamjua kweli au unaota?
Hakuna upweke mbaya kama ule unaishi na mtu nyumba moja ila anakunyima amani katika nyumba hadi unatamani kukaa nae mbali ukajifiche kimya kwenye kona ya dari ya nyumba.