Nyuzi za hivi zinapokuwa nyingi zinawapa wale jamaa nguvu za Kukataa Ndoa pamoja na Kampeni yao kushika kasi.
Kama ndoa yenu ina miaka 17 ni Obvious wewe na mwenza wako ni watu wazima na mtakuwa mnajuana in and out kwa kuzingatia miaka mliyoishi pamoja.
Kusema kweli katika vitu vinachangia kulegalega mno kwa ndoa nyingi ni Wanawake kucheza Vikoba.
Unaweza kuta mke anacheza kikoba kimya kimya alafu hela ya kulipia huko anadanga kwa Wanaume. Una kuta huyo Mwanamke ana wanaume 3 au wanne wa kuombwa hizo elfu 20 za kulipia kikoba. Yaani unapoteza utu wako kwa kudanga kisa elfu 20 ya kulipia kikoba.
Siwezi kuwa sahihi asilimia 100 ila itoshe kusema huyo Mkeo kuna Mwanaume ana Date naye.
Chunguza then ufanye maamuzi baada ya kuwa na ushahidi uliotimia.
Maisha bado matamu, huwezi kukosa amani ya nafsi kwa kumuendekeza Mtu ambaye mmekutana Ukubwani