Ukitaka ufanye maamuzi magumu usijipe nafasi ya kuona mwanamke analia na kumwaga chozi kukuomba msamahaNdo maana wanasema
"Usiyaamini Sana machozi ya mwanamke"
Wanawake Ni mafundi Sana was kuplay victims ionekane wanaonewa kwa upumbv wao[emoji4]
Kuvumilia kuishi na mtu sio mwaminifu ni ngumu sanaVumilieni tu,
Labda afanye hivyo nisijue lakini najua ananisaliti nipotezee huo moyo sinaDawa ya wanandoa ni kuignore tu kila nonsense kasoro zile tu za kuhatarisha maisha,acha waende usimuulize tena atajiona sukari Sana..
Hata usioneshe unaumia relax,tabia mbaya Kama MTU anayo hata hapo town atafanya tu upuuzi.
Kifupi akiwa huko usipige simu kabisa muache uone akili yake inafikia wapi but kuwa extra careful pale utakapoona inaweza hatarisha maisha chukua hatua.
Yaani hapa alivyouwasha moto inaonyesha jinsi gani alikuwa na nyege akapelekewe moto na mchepuko wake halafu wewe unaleta kauzibenilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!!
USALITIhivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana.
USALITIWiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake!
USALITInext Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko,
USALITInilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!!
AMANI YAKO YA AKILI NI BORA KULIKO NDOAbaada ya kutafakri sana nimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!
PIGA CHININakaribisha ushauri
Ila wanaume wafanya kazi sio wachepukaji ?Mkeo ana Mchepuko kazini,
Na Mchepuko ndo kashika usukani
Wanawake wafanyakazi wahuni hutumia Safar za kikazi Kama chaka la kujifichia wanapochepuka
Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake!
Nikamruhusu kwa roho safi lakini soku moja kabla akanips taarifa hatoweza kwenda kwakuwa wametakiwa wabaki kazini kwani mkuu wao anakuja hivyo safar ikafa, Jana nikampa taarifa ya kuwa Jumapili ijayo tunatakiwa kwenda kumuona mtoto shuleni kwani ni siku ya shukrani kwa watoto kufanya vizuri kwenye mitihani yao, akasema imekuwa vzr kuwa this Sunday kwn next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko, nishtuka ingawa sikujionyesha kwa haraka then nikauliza ni kiofisi akajibu hapana wameji organise, nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!! baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!
Nakaribisha ushauri
Alafu, akutaarifu keshafika mikumi... Then wewe Mwanaume unafanya hatua gan??.Shukuru Mungu kakutaarifu kabla. Wengine wanakujulisha wakiwa washafika 'Mikumi' kabisa.
Hawa viumbe wakiamua lao huna la kuweza kufanya kumzuia. Huyo hata ufanye nini huko anakotaka kwenda atakwenda tu.
Kama bado unampenda, mruhusu aende na usitake kuhoji zaidi maana pengine hutokuwa na moyo wa kuuvumilia ukweli endapo utaujua. Bora ubaki na faraja kuwa yupo na wenzie mikumi kuliko kuchunguza zaidi na kugundua yupo na mwenzie.
Hii inapaswa iwe "wake up" call kwako kujua kuwa tayari kuna hitilafu katika ndoa yako. Maamuzi yako ya sasa yasiwe juu ya safari ya mikumi bali aliefanya safari ya mikumu iwepo na mustakabali wa ndoa yenu.
Et kama bado unampenda mruhusu aendee na usimuhoji.Shukuru Mungu kakutaarifu kabla. Wengine wanakujulisha wakiwa washafika 'Mikumi' kabisa.
Hawa viumbe wakiamua lao huna la kuweza kufanya kumzuia. Huyo hata ufanye nini huko anakotaka kwenda atakwenda tu.
Kama bado unampenda, mruhusu aende na usitake kuhoji zaidi maana pengine hutokuwa na moyo wa kuuvumilia ukweli endapo utaujua. Bora ubaki na faraja kuwa yupo na wenzie mikumi kuliko kuchunguza zaidi na kugundua yupo na mwenzie.
Hii inapaswa iwe "wake up" call kwako kujua kuwa tayari kuna hitilafu katika ndoa yako. Maamuzi yako ya sasa yasiwe juu ya safari ya mikumi bali aliefanya safari ya mikumu iwepo na mustakabali wa ndoa yenu.