Sijamuelewa mke wangu

Sijamuelewa mke wangu

Dawa ya wanandoa ni kuignore tu kila nonsense kasoro zile tu za kuhatarisha maisha,acha waende usimuulize tena atajiona sukari Sana..

Hata usioneshe unaumia relax,tabia mbaya Kama MTU anayo hata hapo town atafanya tu upuuzi.

Kifupi akiwa huko usipige simu kabisa muache uone akili yake inafikia wapi but kuwa extra careful pale utakapoona inaweza hatarisha maisha chukua hatua.
 
Dawa ya wanandoa ni kuignore tu kila nonsense kasoro zile tu za kuhatarisha maisha,acha waende usimuulize tena atajiona sukari Sana..

Hata usioneshe unaumia relax,tabia mbaya Kama MTU anayo hata hapo town atafanya tu upuuzi.

Kifupi akiwa huko usipige simu kabisa muache uone akili yake inafikia wapi but kuwa extra careful pale utakapoona inaweza hatarisha maisha chukua hatua.
Labda afanye hivyo nisijue lakini najua ananisaliti nipotezee huo moyo sina
 
Wewe baba mwenyendoa nadhani unamjua mkeo vizuri, miaka 17 upiyoishi Naye unamjua ipasavyo, mkeo kutaka kutoka Mara mojamoja na wenzake sidhani Kama Ni Jambo baya mtu anayejiheshimu hawezi funga Safari ya kwenda kufanya umalaya..na ukisoma ushauri wa atu wengi humu unaona karibia wote wanawaza wanawake wafanyakazi Ni Malaya.. wewe Ni mtu mzima Sasa unajua kiasi Cha upendo wa mkeo ukoje kwako, miaka 17 Kama hakuwahi kutoka inawezekana hakuweza kupata nafasi ya kufanya hivyo kutokana na kulea watoto kuwa wadogo na majukumu kumzidi, kwa miaka hiyo ya ndoa kwanza mkeo siyo binti Tena ni mwanamke anayeweza kuchanganua mambo na hayuko kwenye stage ya kuharibu mahusiano yake kwa kuchepuka kijinga hivyo.mara mojamoja mpe mkeo Uhuru wa kufurahia Maisha na wenzake hata kidogo Kama wewe unapopata nafasi ya kufurahia Maisha kwa MDA na washkaji..Maisha ya ndoa SI utumwa Wala ufungwa ,Kuna MDA tupeane nafasi itasaidia kudumisha mahusiano yenu, Mpendwa mkeo bro kuishi na mwanamke 17 years bila kuona Jambo baya lolote Wala usaliti kutoka kwa mkeo Leo trip tu ndo uwaze kawa Malaya? Acha kusikiliaza maoni ya watu ambao hawajaishi ndoa hata mwaka ndugu yangu.
 
Mimi nadhani tuweke sheria maalumu ambayo itakaziwa sana na itasimamiwa vikali na kwa nguvu na serikali.

Ikigundulika mwanamke au mwanaume anasaliti eneo la kazi na ushahidi upo wa kutosha then mume au mke halali wa muhusika akafungue mashitaka katika mahakamani maalumu ya ustawi wa jamii ambayo itaanzishwa kwa mujibu wa sheria na itambulike kama chombo cha ustwi wa jamii. Kwanza alipwe fidia isiyopungua milioni 5 au zaidi kwa damage aliyosababishiwa kihisia kwa kudhalilishwa halafu kesi isomwe na ushahidi utolewe kisha barua maalumu itolewe mahakamani kusimamisha maramoja mkataba wa kazi kwa masilahi mapana na ustawi wajamii yetu, kulinda ndoa na watoto. Na zaidi iwe kwamba mhusika kama alikuwa ni muajiriwa wa serikali basi ameshajivua nafasi yake na vyeo vyake vyote na hatoruhusiwa kuomba kazi ofisi yoyote ya serikali labda huko kwenye taasisi au mashirika binafsi.

Tukifanya hivi tuweza kwanza kudhibiti viburi vya wanawake ambao wakisha pata tu kazi na kuanza kuona mshahara wa kwanza idea ya kwanza ni kumletea mume wake dharau na kumkosea adabu ikiwamo kuanzisha mahusiano maeneo ya kazi.

Pili itasaidia kudhibiti tabia za Wanaume maeneo ya kazi kusarandia wake za watu, na kuacha majukumu ya kazi. Unakuta unaingia Kwenye ofisi secretary anadharau na viburi kujibu watu hovyo sababu anajua hakuna wa kumfanya lolote maana ana mahusiano na boss wake na anaona ofisi ya uma kama mali ya familia.

Tusiogope kuweka sheria kama hizi zitasaidia sana kupunguza mifarakano kwenye ndoa na kulinda sana familia maana kuna muda mwanaume anaona tu ngoja avumilie upumbavu wa mkewe sababu kapata kazi mpya na hakuna taasisi wala mamlaka ya kumtetea au kumdhibiti mkewe.

Na kuna wanawake wanahangaika wanaume zao wamepandishwa vyeo makazini wanaruka na wafanyakazi wengine hadi wanawaletea magonjwa majumbani sababu ya umalaya.
 
Ndoa yako inaonesha bado haijapitia misukosuko mikubwaa...... Mpige marufuku kwa msisitizo asiende muache afyumu alafu msikilizie kama atakwenda bila ruhusa yako.
 
Nyuzi za hivi zinapokuwa nyingi zinawapa wale jamaa nguvu za Kukataa Ndoa pamoja na Kampeni yao kushika kasi.

Kama ndoa yenu ina miaka 17 ni Obvious wewe na mwenza wako ni watu wazima na mtakuwa mnajuana in and out kwa kuzingatia miaka mliyoishi pamoja.

Kusema kweli katika vitu vinachangia kulegalega mno kwa ndoa nyingi ni Wanawake kucheza Vikoba.

Unaweza kuta mke anacheza kikoba kimya kimya alafu hela ya kulipia huko anadanga kwa Wanaume. Una kuta huyo Mwanamke ana wanaume 3 au wanne wa kuombwa hizo elfu 20 za kulipia kikoba. Yaani unapoteza utu wako kwa kudanga kisa elfu 20 ya kulipia kikoba.

Siwezi kuwa sahihi asilimia 100 ila itoshe kusema huyo Mkeo kuna Mwanaume ana Date naye.

Chunguza then ufanye maamuzi baada ya kuwa na ushahidi uliotimia.

Maisha bado matamu, huwezi kukosa amani ya nafsi kwa kumuendekeza Mtu ambaye mmekutana Ukubwani
 
hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana.
USALITI
Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake!
USALITI
next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko,
USALITI
nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!!
USALITI
baada ya kutafakri sana nimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!
AMANI YAKO YA AKILI NI BORA KULIKO NDOA
Nakaribisha ushauri
PIGA CHINI
 
Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake!

Nikamruhusu kwa roho safi lakini soku moja kabla akanips taarifa hatoweza kwenda kwakuwa wametakiwa wabaki kazini kwani mkuu wao anakuja hivyo safar ikafa, Jana nikampa taarifa ya kuwa Jumapili ijayo tunatakiwa kwenda kumuona mtoto shuleni kwani ni siku ya shukrani kwa watoto kufanya vizuri kwenye mitihani yao, akasema imekuwa vzr kuwa this Sunday kwn next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko, nishtuka ingawa sikujionyesha kwa haraka then nikauliza ni kiofisi akajibu hapana wameji organise, nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!! baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!

Nakaribisha ushauri

Kosa unalotaka kukufanya ni Hilo la "Nmeona nimuachie afanye yake ".

Mjinga wee, kwahiyo umuache mkeo akatombwee, Asubuhi arudi ,umbusu n.k ?.

Kwan miaka 17 nini??.

Huyo haraka haraka hata ukimuacha hawez olewa maana Umri umeshaenda sana.



Mpige marufuku, kua mwanaume , hivi wanaume siku hizi mmekuaje?? PIGA MARUFUKU ,MWAMBIE WAZIWAZI, UKIENDA HUKO, USIRUDI, NGUO ZAKO UTAZIKUTA KWENU.



Haya ndo matokeo ya kua bebi bebi bebi nyingii.
 
Shukuru Mungu kakutaarifu kabla. Wengine wanakujulisha wakiwa washafika 'Mikumi' kabisa.

Hawa viumbe wakiamua lao huna la kuweza kufanya kumzuia. Huyo hata ufanye nini huko anakotaka kwenda atakwenda tu.

Kama bado unampenda, mruhusu aende na usitake kuhoji zaidi maana pengine hutokuwa na moyo wa kuuvumilia ukweli endapo utaujua. Bora ubaki na faraja kuwa yupo na wenzie mikumi kuliko kuchunguza zaidi na kugundua yupo na mwenzie.

Hii inapaswa iwe "wake up" call kwako kujua kuwa tayari kuna hitilafu katika ndoa yako. Maamuzi yako ya sasa yasiwe juu ya safari ya mikumi bali aliefanya safari ya mikumu iwepo na mustakabali wa ndoa yenu.
Alafu, akutaarifu keshafika mikumi... Then wewe Mwanaume unafanya hatua gan??.


Hivi nyie jamaaa, siku hizi mmekutwa na Matatizo gan???.


Haaaaa kwakweli nmeamin kwann Sasa wanaume nao mnapambana kuliwa ndogo.
 
Shukuru Mungu kakutaarifu kabla. Wengine wanakujulisha wakiwa washafika 'Mikumi' kabisa.

Hawa viumbe wakiamua lao huna la kuweza kufanya kumzuia. Huyo hata ufanye nini huko anakotaka kwenda atakwenda tu.

Kama bado unampenda, mruhusu aende na usitake kuhoji zaidi maana pengine hutokuwa na moyo wa kuuvumilia ukweli endapo utaujua. Bora ubaki na faraja kuwa yupo na wenzie mikumi kuliko kuchunguza zaidi na kugundua yupo na mwenzie.

Hii inapaswa iwe "wake up" call kwako kujua kuwa tayari kuna hitilafu katika ndoa yako. Maamuzi yako ya sasa yasiwe juu ya safari ya mikumi bali aliefanya safari ya mikumu iwepo na mustakabali wa ndoa yenu.
Et kama bado unampenda mruhusu aendee na usimuhoji.


Hivo nyie mmeoa kweli na ukatoa Mahari??

Au ni jamaa tu mnaishi mjini, ukipata Dem ukapiga, siku imeenda??.


Umeoaaa???? Umeoa kweli???.
 
Back
Top Bottom