Sijamuelewa mke wangu

Jifanye mlokole jamaa anaenda kumtindua mtaro
 
Anapenda kupakwa wese ndo maana anafunga safari, tena kwa kudanganya. Hata hivyo, mtu aliyeishi kwa ndoa for almost 20yrs atakuwa ameshaanza kupata fibrosis. Narudia tena, muache aende.
Unajua story za humu zinazofichua maovu ya wanawake mmh mwanaume lazima ujifikirie mara 3, baada ya miezi 2 atasema ana mimba yako 😂 kumbe mimba imetoka mikumi
 
Kama una wasiwasi tafuta namna jiridhishe kuwa ni malaya, vunja ndoa.
 
Haha kidubwasha kinataka kutaste new taste😁😁😁.... Mahusiano bhana me nimeamua zangu kuishi peke yangu vidubwasha vikija namega natulia habari za relationships nishaona kabisa me siwezi nitakuja kupiga niue nifungwe.
 

Kaka ukiona mke anaanza plan za kulala nje kanogewa
 
Acha kuchagua sana, ina maana Kati ya wanaume wote waliowahi kukutongoza, hakuna hata mmoja ambaye anataka kukuoa Kelsea
Sikupata tunaeendana. Alafu msikariri mwanamke akiwa hajaolewa eti anachagua sana kuna sababu nyingi mbali na hilo. Pia wanaume wanaweza kuwa wanakuja wengi ila waoaji hakuna so msikariri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…