Sijamuelewa mke wangu

Accumen Mo isome hii
 
Nakuelewa sanaunajuwa unapomueleza mtu kisha anakuwa mbogo ndo shida inapoanzia, Kama baba ndani ya nyumba lazima uulize Sasa mtu anapofoka na kuonyesha utemi hapo siwezi acha tuu kila.mtu aishie kivyake, nimetoka kwa mwana sheria nimempa maamuzi yangu kwa vile mimi sitaki.chochote mbali na vyeti vya shule nae kanipa hatua za kufuata acha tuuu nianze upya
 
Sio safari za kwenda kulala Nje ya Nyumbaaa nasema mwanamke aendee kwenye Hiyo sherehee lakini lazima arudi NYUMBANIIII...!! masuala ya sijui wanenda hotel kulala ni utapeliii na umalayaaaa wa mwanamke.
 

Kwaiyo bro kosa ni nini hapo? Kwenda mikumi au kugairisha safari ya vikoba? Hawa tukiishi nao namna hii tutakufa vbaya sana brother....... em relax na endelea na shughuli zako anataka kwenda mikumi mruhusu!!!

Sioni shida iko wapi? Nikwambie mwanamke akitaka kuliwa analiwa tu hata unaishi nae apo om...... kwani una uwakika gani sa hii yupo job? Fanya kazi mzee wacha pressure izo zitakuuwa, alafu muamini mkeo
 
Hii ni chai au kuna kauongo flani kwa mtoa mada. Miaka 17 ya ndoa ina maana nyinyi ni watu wazima kidogo mmepitia mambo mazito zaidi ya hii. Sijaona sababu ya wewe mtoa mada kuchapa lapa katika hili.
 
Usifanye masihara na vikoba yaani watu wanauziana Hadi Vitu mtu anapoahindwa kulipa deni wao wakakodi hotel na kulala sio kweli 😂 wanawake na Hela zetu hapana nakataa tunaishiaga kula na kunywa kilamtu anarudi kwakwe ikizidi wengine hutoa Sadaka Kwa watoto yatima wachache Lkn labda wao wapo classic sana
 
TAHADHARI;Mke wako akianza vikoba lazima wajuba tumle natena tunawala sana aisee nipo hapa magomeni njooon mnikamate ila ukweli ndo uooooo
 
Mkuu Kuna uwezekano mkubwa Sana mkeo kuwa mchepukaji.

Mara nyingi huwa wanapiga na Safari za kazini kumbe ndo wanaenda kuliwa huko.
Fanya uchunguzi vizuri Kisha utafute suluhisho la kudumu.
 
Mkuu Kuna uwezekano mkubwa Sana mkeo kuwa mchepukaji.

Mara nyingi huwa wanapiga na Safari za kazini kumbe ndo wanaenda kuliwa huko.
Fanya uchunguzi vizuri Kisha utafute suluhisho la kudumu.
 
Pole sana Kwa yanayokukuta.Kiufupi huyo mke wako kaanza kutoka nje ya Ndoa.
Kuwa nae makini asije akakupa mtoto asiye wako ama akakuletea maradhi tu.
 
Mwambie akupigie picha akiwa na Hilo genge la staff wenzie wakiwa huko mikumi,na wawe zaidi ya 10 tafadhali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…