Wewe baba mwenyendoa nadhani unamjua mkeo vizuri, miaka 17 upiyoishi Naye unamjua ipasavyo, mkeo kutaka kutoka Mara mojamoja na wenzake sidhani Kama Ni Jambo baya mtu anayejiheshimu hawezi funga Safari ya kwenda kufanya umalaya..na ukisoma ushauri wa atu wengi humu unaona karibia wote wanawaza wanawake wafanyakazi Ni Malaya.. wewe Ni mtu mzima Sasa unajua kiasi Cha upendo wa mkeo ukoje kwako, miaka 17 Kama hakuwahi kutoka inawezekana hakuweza kupata nafasi ya kufanya hivyo kutokana na kulea watoto kuwa wadogo na majukumu kumzidi, kwa miaka hiyo ya ndoa kwanza mkeo siyo binti Tena ni mwanamke anayeweza kuchanganua mambo na hayuko kwenye stage ya kuharibu mahusiano yake kwa kuchepuka kijinga hivyo.mara mojamoja mpe mkeo Uhuru wa kufurahia Maisha na wenzake hata kidogo Kama wewe unapopata nafasi ya kufurahia Maisha kwa MDA na washkaji..Maisha ya ndoa SI utumwa Wala ufungwa ,Kuna MDA tupeane nafasi itasaidia kudumisha mahusiano yenu, Mpendwa mkeo bro kuishi na mwanamke 17 years bila kuona Jambo baya lolote Wala usaliti kutoka kwa mkeo Leo trip tu ndo uwaze kawa Malaya? Acha kusikiliaza maoni ya watu ambao hawajaishi ndoa hata mwaka ndugu yangu.