Sijamuelewa mke wangu

Sijamuelewa mke wangu

Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake!

Nikamruhusu kwa roho safi lakini soku moja kabla akanips taarifa hatoweza kwenda kwakuwa wametakiwa wabaki kazini kwani mkuu wao anakuja hivyo safar ikafa, Jana nikampa taarifa ya kuwa Jumapili ijayo tunatakiwa kwenda kumuona mtoto shuleni kwani ni siku ya shukrani kwa watoto kufanya vizuri kwenye mitihani yao, akasema imekuwa vzr kuwa this Sunday kwn next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko, nishtuka ingawa sikujionyesha kwa haraka then nikauliza ni kiofisi akajibu hapana wameji organise, nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!! baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!

Nakaribisha ushauri
Point ya kulala huko huko ndo inaleta ukakasi
 
Kuna kisa kimoja kilitokea ulaya lakini. Mwanaume anaishi na mkewe na mtoto m'moja. Siku moja yule mwanamke wakaja rafiki zake wa kike ambao ni mashost wa muda mrefu sana tokea enzi za utoto.

Ni wadada wanaopenda sana usichana na hadi wakati huo wameshaingia umri wa ndoa walikuwa bado hawajaolewa wanaishi maisha ya kuwa huru kufanya lolote na kudate wanaetaka.

Sasa siku moja walikuja vijana ambao walikuwa wanajuana na wale wadada, wakawatoa out ili wakale bata. Yule dada akamwambia mume wake kuwa anamtoko na wenzake, mume wake akamuuliza kuwa wanaenda wapi na occasion ni ipi yaani mtoko unahusiana na kitu gani, birthday, dinner, shopping au nini? Mwanamke hakuwa na jibu zaidi ya kusema yeye na mashosti zake wanaenda onana na rafiki wengine so ni good time tu.

Jamaa akamwambia hajapenda hiyo idea mwanamke akang'aka kuwa atakwenda na yeye sio mtoto mdogo kuamuliwa. Jamaa akaepusha zogo akakaa kimya. Bi dada akatoka out akaenda zake. Ule usiku hakurejea kama alivyoahidi. Na simu yake ilikuwa ikiita tu.

Siku kama ya Tatum's jamaa akiwa ameshaingiwa na hofu ya kutosha asijue nini kimempata mkewe akapata simu kutoka hospital wakitamka kufika maana mkewe ameanza kupata fahamu. Akaenda na kukuta mkewe yupo hospital maelezo ya daktari ni kuwa aliwekewa kilevi yeye na wenzake pia na walitelekezwa hotelini hadi staff wa hoteli walipohisi hali isiyo ya kawaida ya ukimya na kufungua mlango wa chumba na kuwatoa wakiwa hawajitambui na kuwafikisha hospital.

Baada ya kupata fahamu askari waliwahoji na ndipo walielezea kuwa walipatwa na hiyo hali baada ya kunywa vinywaji ila hawakumbuki baada ya kuingia hotelini hapo maana walipoteza ufahamu. Vipimo vilionyesha walibakwa na hata wao walihisi kubakwa. So kesi ikafunguliwa na upelelezi ukaanza mara moja.

Waliporejea nyumbani mwanaume akiwa ana hasira kifuani. Yule dada kwa kuwasiliana na wenzake wakawatafuta wale jamaa kupitia mawasiliano ya simu na mtandaoni. Baadae walipata ujumbe wa vitisho kupitia namba ambayo haionekani "Unknown number" ukiwaelekeza kudrop chargers ama wanaleak video tapes zao mitandaoni. Jamaa maana waliwarekodi wakiwa wanawaingilia wakiwa hawajitambui na walishiriki wakiwa wamelewa kabisa so hawakuwa wakijitambua. Wale wadada hawakusita na wakafikisha hizo sms polisi na kuendelea na upelelezi wa polisi ikiwamo kushare hizi story kwenye mitandao ya jamii na vituo vya habari.

Huyu dada akaanza alikuja kuona mwanaume wake hana time na habari za hiyo kesi wala kushirikiana nae kutafuta hawa watu. Akaanza kumlaumu, mwanaume akampa Makavu yake live. Akamwambia nilikwambia usiende popote siku ile ila ukaniambia wewe ni mtu mzima haupangiwi unaamua kwa uhuru wako. Haujaniheshimu mimi wala haujamheshimu binti yetu ambaye kesho atakuja kuwa mkubwa na kukuta story kuwa mama yake alibakwa na wanaume aliotoka nao out huku baba yake akiwa nyumbani na mtoto mdogo.

Mwanamke akawa anamlamu jamaa kuwa yeye hakupanga haya yatokee alitoka tu out kupata good time na rafiki zake ila haya mengine ni uhalifu. Jamaa akamkata asiendelee kumletea ligi. Hawajakaa sana siku kadhaa tokea siku ya tukio mume akapata video ya ngono iliyorekodiwa kwenye tukio na kuambiwa amuonye mkewe na wenzake wasiendelee na kesi wakaifute wala wasije kutokea mahakamani ikitakiwa kufanyika hivyo.

Jamaa akamuonyesha mkewe na kumpatia nyaraka za talaka assign. Mwanamke alilalamika sana kuwa mwanaume wake hana utu kumuacha kipindi kigumu kama hicho kwenye maisha yake. Akapost social media video akiwa analia na kuelezea hiyo story yake nadhani ilikuwa ni TikTok. Watu waligawanyika, wapo waliosapoti maamuzi ya mume wake wakisema mwanamke kiburi chake kimemponza na wapo waliomtetea mwanamke na kusema yeye alitoka na marafiki kula Good time ila kama wasingefanyiwa uhalifu wa kuwekewa vilevi kwenye kinywaji asingekubali kwenda hotelini na wanaume wengine.

Wanawake huwa wanaviburi sana na hii ni sifa ya mwanamke anayesikiliza akili yake inataka nini huwa hainaga matokeo mazuri. Ni vema kumsikiliza mwanaume pale anapoonyesha kutoridhika na maamuzi yako au jambo lolote unalomwambia.
 
Ndo maana wanasema
"Usiyaamini Sana machozi ya mwanamke"
Wanawake Ni mafundi Sana was kuplay victims ionekane wanaonewa kwa upumbv wao[emoji4]
 
Mkuu, loneliness kills, ni ngumu kusema hautakuja kuoa unless uwe na familia bila ndoa hapo sawa, ila kuishi mwenyewe kama mwenyewe ni ngumu. Hapo ndo utakosa hadi afya ya akili. Kinachotakiwa ni kumpata ambaye mtakuwa na chemistry nzuri, ila ukifuata kichwa cha chini basi tutakuzika mapema kwa magonjwa ya moyo.
Haya mambo ya kutishana hakunaga hii kitu. Mwanaume unakuwaje na upweke mademu wamejaa kila kona kwenye huu mji, ukitangaza tenda ya kutafuta mwanamke wa kukuliwaza ni dakika tano tu hawa hapa mlangoni.

Unaishi na mtu miaka 10 au 20 halafu unakuja kugundua kuna tabia hakuwahi kukufanyia na ni za ajabu hadi unajiuliza hivi huyu mtu unamjua kweli au unaota?

Hakuna upweke mbaya kama ule unaishi na mtu nyumba moja ila anakunyima amani katika nyumba hadi unatamani kukaa nae mbali ukajifiche kimya kwenye kona ya dari ya nyumba.
 
Very true. Mimi ndio maana mwanamke akiwa kazini huwa sitaki kabisa kuiambia akili yangu kuwa anajiheshimu maana soon nitakuwa disappointed.
Maisha ya mahusiaano iandae akili yako kupokea chochote hii usaidia usiingie jela kisa mapenzi.
Au kuvurugikiwa maisha.
Shetani akishindwa kumvuruga mwanaume upitia kupitia mke wake.
Ukiijua hii siri huwezi kwenda jela,jiua,kuvurugikiwa maisha kisha mwanadamu mliekutana ukubwani,tena hakuwa toa hata mia yake kukununulia daftari.
 
Kikoba gani cha kukodi mpaka hoteli watu walale hukohuko?, Kuna starehe au raha gani ya mwanandoa kuona fahari ya kumuacha mme/mke wake "eti anaenda kwenye sherehe ya kuvunja kikoba?". Siku hiyo ya kikoba Mambo yake yaligoma na mchepuko wake ndio maana kaja na trip ya mikumi, muulize nani anaratibu hiyo trip hapo kazini kwake?, Je watu nje ya ofisi wanaruhusiwa kwenda?, Fanya upelelezi kwa wafanyakazi wenzake kama kuna Jambo Kama hili? Na ukikuta ni kweli angalia main organize wa trip ni ke/me hapo utakuwa umepata jibu sahihi Ila.... Huyo mke anapasuka kwa jamaa fulani ndio maana anahangaika kutafuta nafasi.
Me nahisi alitest mitambo kuona mume wake ataruhusu yeye kulala nje ya nyumba alipoona amekubali akaongea na mchepuko wakapanga upya kuwa hapo kigamboni sio mbali na anaweza kuwafikia akitaka kufanya fumanizi, ni bora waende mbali na Dar huko mikumi kuwapata itakuwa kazi na hawezi ondoka kuacha nyumba pekee yake ghafla aondoke.
 
Hakuna biashara isiyo na hasara.
Mimi Katu sitoshiriki hafla au function yeyeto nikialikwa ofisini kwa wife nitatafuta ushuru wowote.
Mzee unaweza ukatinga na suti zako kumbe kuna mme mwenzio ofisini anakusanifu tu. Hawa wanawake wa maofisini huwa na wanaume wawili wa ndoa nyumbani na wa ofisini sababu ya ukaribu wa kazi.
 
Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake!

Nikamruhusu kwa roho safi lakini soku moja kabla akanips taarifa hatoweza kwenda kwakuwa wametakiwa wabaki kazini kwani mkuu wao anakuja hivyo safar ikafa, Jana nikampa taarifa ya kuwa Jumapili ijayo tunatakiwa kwenda kumuona mtoto shuleni kwani ni siku ya shukrani kwa watoto kufanya vizuri kwenye mitihani yao, akasema imekuwa vzr kuwa this Sunday kwn next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko, nishtuka ingawa sikujionyesha kwa haraka then nikauliza ni kiofisi akajibu hapana wameji organise, nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!! baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!

Nakaribisha ushauri

Ushapigwa, mke kaliwa huyo, mwache tu
 
Back
Top Bottom