Sijamuelewa mke wangu

Sijamuelewa mke wangu

Shukuru Mungu kakutaarifu kabla. Wengine wanakujulisha wakiwa washafika 'Mikumi' kabisa.

Hawa viumbe wakiamua lao huna la kuweza kufanya kumzuia. Huyo hata ufanye nini huko anakotaka kwenda atakwenda tu.

Kama bado unampenda, mruhusu aende na usitake kuhoji zaidi maana pengine hutokuwa na moyo wa kuuvumilia ukweli endapo utaujua. Bora ubaki na faraja kuwa yupo na wenzie mikumi kuliko kuchunguza zaidi na kugundua yupo na mwenzie.

Hii inapaswa iwe "wake up" call kwako kujua kuwa tayari kuna hitilafu katika ndoa yako. Maamuzi yako ya sasa yasiwe juu ya safari ya mikumi bali aliefanya safari ya mikumu iwepo na mustakabali wa ndoa yenu.
Wanawake pasua kichwa....
 
Akikwambia anaenda mwambie wewe nenda, siku akirudi akisema anaenda tena kesho yake we mwambie aende.. Mtu mwenyewe ashaishi naye 17 years, hakuna jipya hapo.
Anaenda kupakwa wese daah mwanaume akifikiria hivyo tu miaka 17 sio kitu kwa msaliti 😂
 
Back
Top Bottom