Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Hayo utajua wewe, mie nikipata wa kunioa naolewa.Sema unatafuta mtu akusaidie bills,hakuna ndoa siku hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo utajua wewe, mie nikipata wa kunioa naolewa.Sema unatafuta mtu akusaidie bills,hakuna ndoa siku hizi
🤣 Nitakua nakuja kulilia kwako au utanifukuza?🤣🤣🤣 na siku yakikushinda unishtue
Akikwambia anaenda mwambie wewe nenda, siku akirudi akisema anaenda tena kesho yake we mwambie aende.. Mtu mwenyewe ashaishi naye 17 years, hakuna jipya hapo.Kama ni wa kuchepuka atachepuka tu
Kwa hilo tu sio kulialia hata ukitaka kuhamia kabisa 🤣😅🤣 Nitakua nakuja kulilia kwako au utanifukuza?
🤣🤣 JamanKwa hilo tu sio kulialia hata ukitaka kuhamia kabisa 🤣😅
Hakuna kipindi kizuri kama kuna mtu kakuumiza kimapenzi halafu unapata mwingine anayekusikiliza na kukujali🤣🤣 Jaman
🤣🤣🤣🤣 naona mzee umekubaliana na yote sasa liwalo na liwe. NDOA NI UTAPELIkWasasa kugongea siogopi tena yaan naona akili yang ipo tayar kwa lolote hata siwaz,agongwe asigongwe shauri yake
Maisha mafupi haya kuanza kulifatilia limtu ni upuuz
Wanawake pasua kichwa....Shukuru Mungu kakutaarifu kabla. Wengine wanakujulisha wakiwa washafika 'Mikumi' kabisa.
Hawa viumbe wakiamua lao huna la kuweza kufanya kumzuia. Huyo hata ufanye nini huko anakotaka kwenda atakwenda tu.
Kama bado unampenda, mruhusu aende na usitake kuhoji zaidi maana pengine hutokuwa na moyo wa kuuvumilia ukweli endapo utaujua. Bora ubaki na faraja kuwa yupo na wenzie mikumi kuliko kuchunguza zaidi na kugundua yupo na mwenzie.
Hii inapaswa iwe "wake up" call kwako kujua kuwa tayari kuna hitilafu katika ndoa yako. Maamuzi yako ya sasa yasiwe juu ya safari ya mikumi bali aliefanya safari ya mikumu iwepo na mustakabali wa ndoa yenu.
Ushajitoa kafara akiona unamuwekea kauzibe anakutanguliza 😂kWasasa kugongea siogopi tena yaan naona akili yang ipo tayar kwa lolote hata siwaz,agongwe asigongwe shauri yake
Maisha mafupi haya kuanza kulifatilia limtu ni upuuz
Wahuni wanaenda kuipakaa mafuta ukifikiria daah 🤣Pole sana, kaa chini utafakari mali yako inaliwa...
Anaenda kupakwa wese daah mwanaume akifikiria hivyo tu miaka 17 sio kitu kwa msaliti 😂Akikwambia anaenda mwambie wewe nenda, siku akirudi akisema anaenda tena kesho yake we mwambie aende.. Mtu mwenyewe ashaishi naye 17 years, hakuna jipya hapo.
Ndio hujapata na wameshagoma 🙄Hayo utajua wewe, mie nikipata wa kunioa naolewa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Cha msingi tukuchangie buku buku na wewe uende mikumi
KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
NDOA NI USANII
LINDA AFYA YAKO YA AKILI KATAA NDOA
Anapenda kupakwa wese ndo maana anafunga safari, tena kwa kudanganya. Hata hivyo, mtu aliyeishi kwa ndoa for almost 20yrs atakuwa ameshaanza kupata fibrosis. Narudia tena, muache aende.Anaenda kupakwa wese daah mwanaume akifikiria hivyo tu miaka 17 sio kitu kwa msaliti 😂
Ahaaaa,nakuja PM babyHayo utajua wewe, mie nikipata wa kunioa naolewa.
Kwel bhna kuna kenge mmoja alimanusura iniweke jela kwa mahamuzi magumu niliyotaka kuyachukuaMzuie kwenda iyo safari alafu umfatilie
Wanawake tukianza kuchepuka hatuwezi kujificha utajua tu.