Jana Jumatatu katika dakika 45 ya mahojiano kuhusu DP World kati ya Naibu Katibu Mkuu Ujenzi na Usafirishaji na Ndugu Mzinga kwa kweli sikumuelewa alichokuwa anaeleza Naibu Katibu Mkuu kuhusu DP World. Hakuwa amejitayarisha na maelezo yake yalikuwa below standard.
Kwa mahojiano yenye umuhimu kama haya ni budi Serikali kumteua mtu mwenye uelewa kuhusu jambo hili. Maelezo yake hayakukidhi haja ya wananchi. Pole sana Naibu Katibu Mkuu.
Kwa mahojiano yenye umuhimu kama haya ni budi Serikali kumteua mtu mwenye uelewa kuhusu jambo hili. Maelezo yake hayakukidhi haja ya wananchi. Pole sana Naibu Katibu Mkuu.