Sijaolewa kwasababu "ndoa za watu zinanivunja moyo"

Nakushauri bora usiolewe naona wangekuwa waanakutongoza wanaume wa mbuzi ama kuku Dada. Ni bora uzae umuumbe Hugo mmeo unayemtaka. Yaani komaaa uolewe na malaika kama sio wanaume kuwa na tamaawagekaa wasikufuate Haya wewe. Zaaa wa kwako afu aje akuoe. Kwanza huwa nasema siku hizi hakuna wanaume kama enzi za akina nabii Ibrahim ama Yesu. Enzi hizo kulikuwa na mwanaume aliyeoa wanawake karibia alfu moja sijui ni alfu kumi. Nisaidieni wasoma biblia alikuwa ni nabii Suleiman. Lands king mswati ni mwanaume kidogo. Mie Nina mdogo ya kuoa wafike mia Moja saivi ninao 26.

Wanaume wa siku hizi hakuna kituo na kituo anataka siti wakati enzi hizo za akina mkwawa askari awake walitembea tokea iringa mpaka dar kumfuatilia mjerumani anafanya mini.

Yaani wanaume huwezi Haya kojoza wanawake watano kwa siku. Jiulize Suleiman aliwahudumiaje nao wote jamani.
Hebu tuamke mwanaume jamani tunashusha our manhood
 
29 years old, ni nani auziwe gazeti jioni?[emoji276]
 
Unajua kwann hujaolewa? Sababu unacopy maisha ya watu.
Yaani hayo mambo unayoyaona kwenye ndoa za wenzio.. unadhani na ww yatakutokea. Yaani una copy and paste. Ndio maana ume stuck.

Hujaolewa sababu in your mind unasikiliza only darkside ua ndoa. Ndio maana unaona ndoa mbaya
.
Hata ukimpata bado utamuwazia vibaya ulienae.

Rekebisha fikra zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…