prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,184
- 3,369
Sexless kumbe.... haunisumbui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itoshe kusema mwaka huu unapata mume (case close)Mm sijajolewa na natamani siku ifike nije nimpate wangu wa peke yangu atakaye nipenda kwa dhati ya moyo wake. Halafu atulie tuli. Bila hivyo siolewi.
Mpk sasa nina miaka 29, lkn kila nikitaka kuingia kwenye ndoa moyo unasita. Kwasabbb tangu nipevuke nimekuwa natongozwa na wanaume (lkn walio wengi ni waume za watu).
Sasa najiuliza inamaana na mm nikiingia kwenye ndoa mume wangu atakuwa anachepuka kama hawa? Sasa kama una mume halafu kucha kutwa anahaingaika na akina dada wa kitaa, nini maana yake?
Ndoa nn faida yake ikiwa hata ukiwa nayo mwenzi wako anachepuka?
Wanawake wengi wameridhika na ujinga huu. Ukiongea nao wanasema "wanaume ndiyo walivyo au wanaume hawaridhiki". Sasa kama hawaridhiki? Ndiyo nijiingize kwenye kitu hatari? Nikipata magonjwa je?
Kwa ujinga huu, siolewi.
Nini kifanyike?
Hakuna kitakachoweza kufanyika mpaka mwisho wa dahari.
Thing's gonna be worse than ever!!
Miaka 29 nan aoe mzee na vibinti kibao kitaa wamejaa [emoji3][emoji3][emoji3]Mm sijajolewa na natamani siku ifike nije nimpate wangu wa peke yangu atakaye nipenda kwa dhati ya moyo wake. Halafu atulie tuli. Bila hivyo siolewi.
Mpk sasa nina miaka 29, lkn kila nikitaka kuingia kwenye ndoa moyo unasita. Kwasabbb tangu nipevuke nimekuwa natongozwa na wanaume (lkn walio wengi ni waume za watu).
Sasa najiuliza inamaana na mm nikiingia kwenye ndoa mume wangu atakuwa anachepuka kama hawa? Sasa kama una mume halafu kucha kutwa anahaingaika na akina dada wa kitaa, nini maana yake?
Ndoa nn faida yake ikiwa hata ukiwa nayo mwenzi wako anachepuka?
Wanawake wengi wameridhika na ujinga huu. Ukiongea nao wanasema "wanaume ndiyo walivyo au wanaume hawaridhiki". Sasa kama hawaridhiki? Ndiyo nijiingize kwenye kitu hatari? Nikipata magonjwa je?
Kwa ujinga huu, siolewi.
huyu hana ishu anaham tu kupakuliwa kupitia JFJuzi ulikuja hapa na uzi kwamba upo kwenye ndoa ya miezi nane lakini unampenda boyfriend kuliko mume
Mods tunaomba aina ya watu kama huyu muwafungie kabisa maana wanaondoa credibility ya JF
Ndio maana unamshabikia Lisu kumbe huna akili.
KUNA Dem mmoja humu anaitwa jadit alitoa fursa watu wamtokee ili achague wa kumuoa.. mimi nikajitosa sababu nilikuwa seriously kwenye hii issue ya NDOA. nilistuka aliponambia anaishi CHATTO kwa MEKO nikamuuliza unakaa eneogani hapo chato akawa anasita kunijibu..Dume hilo
jadit njoo huku kuna ujumbe wakoKUNA Dem mmoja humu anaitwa jadit alitoa fursa watu wamtokee ili achague wa kumuoa.. mimi nikajitosa sababu nilikuwa seriously kwenye hii issue ya NDOA. nilistuka aliponambia anaishi CHATTO kwa MEKO nikamuuliza unakaa eneogani hapo chato akawa anasita kunijibu..
bas akakubali tukaanza michakato tukapeana namba tukaanza kuchat ilipofikia nataka tuonane videocall akawa hapokei nikimuuliza vipi mbona hupokei anasema yupo sehem mbaya nikampigia usiku akapokea lakini akaweka giza simuoni nikamuuliza vipi anachoongea simuelewi nikamchana nilimtafuta picha yake nikampata nitofauti na alizo nitumia nikamwambia aache utapeli sikuhizi watu wengi wapo makini unapoelekea kumtapeli.
Ila na wewe haupo serious Jamani, kutafuta mke kwa style hiyo? Wenzio wanafanya hivyo kutafuta marafiki tu ukishamjua na kumzoea ndo utajua kama anafaa kuwa mke au la..KUNA Dem mmoja humu anaitwa jadit alitoa fursa watu wamtokee ili achague wa kumuoa.. mimi nikajitosa sababu nilikuwa seriously kwenye hii issue ya NDOA. nilistuka aliponambia anaishi CHATTO kwa MEKO nikamuuliza unakaa eneogani hapo chato akawa anasita kunijibu..
bas akakubali tukaanza michakato tukapeana namba tukaanza kuchat ilipofikia nataka tuonane videocall akawa hapokei nikimuuliza vipi mbona hupokei anasema yupo sehem mbaya nikampigia usiku akapokea lakini akaweka giza simuoni nikamuuliza vipi anachoongea simuelewi nikamchana nilimtafuta picha yake nikampata nitofauti na alizo nitumia nikamwambia aache utapeli sikuhizi watu wengi wapo makini unapoelekea kumtapeli.
MKUU...kumbe wewe ukiwasha gari huwa unaondoka na gia no. 5!! nilikuwa sijakuelewaIla na wewe haupo serious Jamani, kutafuta mke kwa style hiyo? Wenzio wanafanya hivyo kutafuta marafiki tu ukishamjua na kumzoea ndo utajua kama anafaa kuwa mke au la..
iko hiviii.. mke au mume huwezi kumjua utampata lini au wapi. ni popote tu mtakapoanzia na mwishoe ndio mnajikuta mko pamoja na maisha yatakwenda kama mungu alivojalia.Ila na wewe haupo serious Jamani, kutafuta mke kwa style hiyo? Wenzio wanafanya hivyo kutafuta marafiki tu ukishamjua na kumzoea ndo utajua kama anafaa kuwa mke au la..
niko seriously.. sitanii nina experience katika hili sipo kwenye maaribioIla na wewe haupo serious Jamani, kutafuta mke kwa style hiyo? Wenzio wanafanya hivyo kutafuta marafiki tu ukishamjua na kumzoea ndo utajua kama anafaa kuwa mke au la..