Sijaolewa kwasababu "ndoa za watu zinanivunja moyo"

Itoshe kusema mwaka huu unapata mume (case close)
 
Nini kifanyike?

Hakuna kitakachoweza kufanyika mpaka mwisho wa dahari.
Thing's gonna be worse than ever!!

Nimekuja kufahamu kuwa Africans we do not have purest love to our spouses.

We are used to pretend to love!

Kama unampenda kwa moyo wa that mkeo au mumeo huwezi kuchepuka abadani [emoji108][emoji108][emoji108]
 
Ukitaka kuwaelewa baadhi ya watu kama anayejiita asiye na jinsia ni kupoteza muda. Mpka leo hajaelewa jinsia yake ni ipi then anakuja na mada za kuolewa na siku nyingine za kuoa.
Ila na fikiri mtoa mada ni mwanamke aliye na tatizo fulani la kisaikolojia.
 
Miaka 29 nan aoe mzee na vibinti kibao kitaa wamejaa [emoji3][emoji3][emoji3]
# nacheka lkn naogopa
 
Juzi ulikuja hapa na uzi kwamba upo kwenye ndoa ya miezi nane lakini unampenda boyfriend kuliko mume

Mods tunaomba aina ya watu kama huyu muwafungie kabisa maana wanaondoa credibility ya JF
huyu hana ishu anaham tu kupakuliwa kupitia JF
 
Dume hilo
KUNA Dem mmoja humu anaitwa jadit alitoa fursa watu wamtokee ili achague wa kumuoa.. mimi nikajitosa sababu nilikuwa seriously kwenye hii issue ya NDOA. nilistuka aliponambia anaishi CHATTO kwa MEKO nikamuuliza unakaa eneogani hapo chato akawa anasita kunijibu..
bas akakubali tukaanza michakato tukapeana namba tukaanza kuchat ilipofikia nataka tuonane videocall akawa hapokei nikimuuliza vipi mbona hupokei anasema yupo sehem mbaya nikampigia usiku akapokea lakini akaweka giza simuoni nikamuuliza vipi anachoongea simuelewi nikamchana nilimtafuta picha yake nikampata nitofauti na alizo nitumia nikamwambia aache utapeli sikuhizi watu wengi wapo makini unapoelekea kumtapeli.
 
usikariri, uliyenaye usimfananishe na wengine, na uhusiano wako hauwezi kufana na wa wengine, hizo couples zenye changamoto,hawafanani na nyie, yafanye mahusiano yako kuwa unique usi copy paste
 
jadit njoo huku kuna ujumbe wako
 
Ila na wewe haupo serious Jamani, kutafuta mke kwa style hiyo? Wenzio wanafanya hivyo kutafuta marafiki tu ukishamjua na kumzoea ndo utajua kama anafaa kuwa mke au la..
 
Ila na wewe haupo serious Jamani, kutafuta mke kwa style hiyo? Wenzio wanafanya hivyo kutafuta marafiki tu ukishamjua na kumzoea ndo utajua kama anafaa kuwa mke au la..
MKUU...kumbe wewe ukiwasha gari huwa unaondoka na gia no. 5!! nilikuwa sijakuelewa
muulize huyo niliyemtaka tulichoongea mpaka kaingia mitini..atakujuza nilimpa maneno gani
 
Ila na wewe haupo serious Jamani, kutafuta mke kwa style hiyo? Wenzio wanafanya hivyo kutafuta marafiki tu ukishamjua na kumzoea ndo utajua kama anafaa kuwa mke au la..
iko hiviii.. mke au mume huwezi kumjua utampata lini au wapi. ni popote tu mtakapoanzia na mwishoe ndio mnajikuta mko pamoja na maisha yatakwenda kama mungu alivojalia.
 
Ila na wewe haupo serious Jamani, kutafuta mke kwa style hiyo? Wenzio wanafanya hivyo kutafuta marafiki tu ukishamjua na kumzoea ndo utajua kama anafaa kuwa mke au la..
niko seriously.. sitanii nina experience katika hili sipo kwenye maaribio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…