Mm sijajolewa na natamani siku ifike nije nimpate wangu wa peke yangu atakaye nipenda kwa dhati ya moyo wake. Halafu atulie tuli. Bila hivyo siolewi.
Mpk sasa nina miaka 29, lkn kila nikitaka kuingia kwenye ndoa moyo unasita. Kwasabbb tangu nipevuke nimekuwa natongozwa na wanaume (lkn walio wengi ni waume za watu).
Sasa najiuliza inamaana na mm nikiingia kwenye ndoa mume wangu atakuwa anachepuka kama hawa? Sasa kama una mume halafu kucha kutwa anahaingaika na akina dada wa kitaa, nini maana yake?
Ndoa nn faida yake ikiwa hata ukiwa nayo mwenzi wako anachepuka?
Wanawake wengi wameridhika na ujinga huu. Ukiongea nao wanasema "wanaume ndiyo walivyo au wanaume hawaridhiki". Sasa kama hawaridhiki? Ndiyo nijiingize kwenye kitu hatari? Nikipata magonjwa je?
Kwa ujinga huu, siolewi.