Naomba nikuulize
Sexless
Umeona magari mangapi kwenye parking ya Breakdown yale yalio haribika kindakindaki? ,Lakini bado una ndoto za kununua gari!
Umeona simu ngapi kaliii zipo kwa fundi zinatumika kama skrepa ? Lakini bado unataka kupata simu kali hata inaweza isiwe kama ile!
Umeona makaburi ya wangapi mashujaaa watu na hela zao? Lakini bado unataka kuishi!
Umeona nguo ngapi zimefanya matambara ya deki lakini bado unaenda kununua zingine!
Nisiendeleee saaaana nadhani umee elewa nacho jaribu kusema!
Kuona ndoa zimevunjika haimanishi ya
Sexless na Sexman haitodumu!.
Mimi naona watu woote tumeumbwa kwa ajili ya Ndoa! (mtu ajaribu kunipinga).
Maaana ukisoma au usiposoma NDOA.
Mlemavu sio Mlemavu NDOA.
Mkulima ,mvuvi Ndoa.
Jambazi , Polisi Ndoa.
Mimi / Wewe NDOA.
Msomi / Sio msomi NDOA. Naeza fanya hivi mpaka kesho!. Kifupi kilaaaa mtu anaingia kwa ndoa.
So Sister
Sexless jifunze kuhusu ndoa wasikilize washauri kabla ya kuingia kwenye ndoa ambayo itakusaidia kumchagua na kumuandaa na ndoa huyo mwenza wako ili mambo yasije kuharibika mbeleni!.
Jaribu kuwa na marafiki walioko kwenye ndoa wakupe mori lakini sio wakupe mfano!. Yani usije sema nataka mtu mrefu kisa umeona jamaaa mrefu yupo kwenye ndoa!. Lakini sikia hadithi zao za kuvumiliana wanavyo jenga uaminifu wao wanavyo fanya kile na kile!. Akili za kupewa changanya na zako!
Kaaa ukijua hakuna hali / situation ya milele ulikuwa mtoto ukawa mkubwa maana ndoa lazima ziishe lakin wewe kajipange mkae mpaka kifo usikubali ufanye makosa ya wengine waliofanya!. Hope itakusaidie!