Sijaona faida yoyote kuacha pombe, nataka niendelee kunywa

Ushakuwa mlevi kuacha ni ngumu na ukiacha una kufa ugonjwa wa dalili za alcohol withdraw....so usiache bila kumuona daktari maana wewe ni sokomoko mlevi komba......ukimuona daktar atakupa mbinu na dawa za kuacha bila kuleta madhara kwenye mwili......... ukisema uendelee kunywa sawa tu ila maini moyo figo uwe una pima pima ....kufa wote tunakufa shida kufa kijana au kabla miaka 75.....
 
Wakuu,


Kuna muda nilisitisha pombe ila sijaona faida yoyote. Jana nimekunywa kreti nzima ya bia naona niko vizuri.

Naona mambo ya kuacha pombe nipige chini.
kilevi kikishakolea, huachi, unapunguza au unapumzika tu kidogo 🐒

matumizi ya pombe kupita kiasi ni hatari kwa Afya yako 🐒

kunywa kistaarabu 🐒

haiuzwi kwa under18🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…