cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
Kafunguwe hii thread jukwaa la afya, kule ndio kuna wataalam wa afya wanaperuzi lile jukwaa.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,tarehe zangu za kupata hedhi ni kama ifuatavyo:19/3/2023, 19/4/2023,21/5/2023,20/6/2023 lakini huu mwezi wa sita nilikutana na baba watoto tarehe 5 na tarehe 6. Nimejaribu kupima kipimo kinaonesha negative lakini nikitumia tochi kumulika kipimo kuna mstari unajichora kwa mbali lakin natumia nguvu nyingi kuuangalia.sasa sielewi Nina mimba au sina?
Kumbe ni wewe umetumia ID mpya? Ona sasa umejichanganya.Binafsi sihitaji mtoto nilionao wananitosha,
Ngoja madokta waje
Anaefanya hiyo shughuli Hana kazi, siku njemaKumbe ni wewe umetumia ID mpya? Ona sasa umejichanganya.
Una wangapi bibieBinafsi sihitaji mtoto nilionao wananitosha,
Ngoja madokta waje
Ukihesabu siku kutoka hedhi ya mwisho Hadi tarehe ya kukutana na mwenzi wako, zinafika siku 15-17 ambazo ni siku za hatari kwa mwanamke!Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tarehe zangu za kupata hedhi ni kama ifuatavyo: 19/3/2023, 19/4/2023, 21/5/2023, 20/6/2023 lakini huu mwezi wa sita nilikutana na baba watoto tarehe 5 na tarehe 6...
Mzunguko wako wa hedhi ni WA siku 28! Hvyo siku ya hatari ni siku ya 12-17Ukihesabu siku kutoka hedhi ya mwisho Hadi tarehe ya kukutana na mwenzi wako, zinafika siku 15-17 ambazo ni siku za hatari kwa mwanamke!
Inawezekana ukawa umeshika kweli though ni vzur kama ungesema unatumia siku ngap ukiwa hedhi
Pole kwa kupachikwa kimasiara.Anaefanya hiyo shughuli Hana kazi, siku njema
Mambo mengine kuyaleta humu si sawa!Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tarehe zangu za kupata hedhi ni kama ifuatavyo: 19/3/2023, 19/4/2023, 21/5/2023, 20/6/2023 lakini huu mwezi wa sita nilikutana na baba watoto tarehe 5 na tarehe 6...